Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwahiyo ukiwekewa uchague katika hizi pair Sterling na Rashford, Foden/ Mahrez na Greenwood, De Bruyne na Bruno na Jesus na Cavani.

Utakua katika dilemma ya kutojua umchague nani kwakua viwango vinafanana au siyo?
Usichanganye kati ya individual performance vs collective performance.

Hizo pair hapo hazina tofauti kabisa individually. Weka uhalisia wa kiuwezo tena for the fact Bruno ni zaidi ya Kevin De Bruyne pia hata Edinson Cavani anamzidi Gabriel Jesus unless it's for long term purpose kwa ssb ya umri.
 
Hii thread nayo mara nyingine utani mwingi sana! Eti Ruben Dias wa kawaida!

City CBs

Dias, Laporte, Stones, Ake, Garcia

United CBs

Maguire, Lindelof, Bailly, Jones, Tuanzebe

Utani wa ngumi huu.
 
Naangalia game ya Dortmund na Bayern ...huyu Halland ni kama kuna mizimu inamuongoza hivi, goal machine, na nasema sisi man u hatuwezi kumchukua hata kwa dawa.. Sisi Tuendelee kukalisha mapumbu yetu mazito na manene na akina wapuuzi rashford na wengineo tuendelee kusindikiza timu zingine kwenye ubingwa.
 
Man City wapewe kombe lao najua mechi ya kesho tutakamia Sababu ni Derby lkn hatuna team bora kushinda wao ..FA wanachelesha tu ila bingwa ni man City

Greenwood watu wanamponda ila dogo namkubali kuliko Rashford simply because Greenwood kufunga hategemei Counter peke yake kama Rashford
 

Greenwood mzuri sema watu wanashindwa kumvumilia , Rashford ndio janga maana kufunga kwake anategemea counter na hapo bado hizo nafasi za counter zenyewe kama hajaharibu mwishoni kabisa
 
We jamaa kwl nimeamini Unashida mahali Yaan unaweza kulinganisha beki mwenye akili Kama Ruben Dias Eti na Harry maguire kwl? laporte na linderlof Dah ebu acha utani hivi unafaham toka city wamsajil Ruben Dias hawajapoteza mech hata moja kiufupi kombinesheni ya mabeki ya man city na midifield wao wako kwny form man city haitegemei forward ndo maan ukiangalia gem za hivi karibuni Gabriel Jesus anawez acfunge ila Ruben au johnstones akafunga.
Man city imekamilika ndo sababu wamecheza mech 21 bila kupoteza nirekodi Ambayo pep hata alipokuw Cataluna hajawah kuifikia. Acha man city itambe niwakati wake
 
[Bruno Andrade] :
Raphinha (Leeds) receives approach from Manchester United; Meeting now in March will serve to align details and values to move forward with the negotiation
 
Yaani asuke kikosi akimaliza afukuzwe aje mwingine atumie kikosi kilichosukwa na mwingine.

Wewe hii umeona wapi? Anayekuja hua anaanza kusuka kikosi chake.
Hebu rejea ile Madrid ya zidane iliyochukua UEFA mara 3 mfululizo kama sikosei, kwan kile kikoc kiliandaliwa na nan? Si Morinyo aliandaa kikosi Zidane akaja kukuta Timu imekamilika akawa anaingiza mifumo yake tu na mambo yanatiki,
 
Hakuna kitu kama kusuka kikosi then kocha mwingine aje kukichukua na kufanya nacho wonders..Hakuna.

Kama kocha hawezi kusuka kikosi kitakachompa mataji basi huyo sio kocha wa daraja la juu wa kuifundisha United.
Kwan OGS hawez suka kikosi, unaikumbuka Timu aliyokabidhiwa na hii ya sasa unaweza linganisha? Jamaa kafanya makubwa sana tu, tumpe heshima anayostahil, sasa hivi Timu inacheza hata unaona kabisa kwamba hapa inabid tuongeze mchezaj wa nafasi flan na fulani, Tofaut na wakat wa Moyes,LVG na Morinyo, Kuna wakat Timu inacheza na hauelew yan nin kinaendelea unataman uwatoe wachezaj wote ulete wapya, ila huyu Jamaa unaona kabisa hapa anahitajika winga wa kulia mkomavu (sio vitoto kina Amad na pelistri) unaona kabisa tunahitaj namba 6 nzur, na Tukipata 9 ya maana kazi imeisha,
 
Umeenda in general sana, hauja point matatizo moja moja
 
Hii thread nayo mara nyingine utani mwingi sana! Eti Ruben Dias wa kawaida!

City CBs

Dias, Laporte, Stones, Ake, Garcia

United CBs

Maguire, Lindelof, Bailly, Jones, Tuanzebe

Utani wa ngumi huu.
Mwambie ukwel huyo jamaa, City katuzid kila eneo, labda ile beki yetu ya kushoto na namba 10 yetu ndio inawazid ubora, ila baada ya hapo hamna kitu
 
Hebu rejea ile Madrid ya zidane iliyochukua UEFA mara 3 mfululizo kama sikosei, kwan kile kikoc kiliandaliwa na nan? Si Morinyo aliandaa kikosi Zidane akaja kukuta Timu imekamilika akawa anaingiza mifumo yake tu na mambo yanatiki,
Mambo hayakua yanatiki matunda yake ndiyo unayaona sasa hivi.
 
Sasa Ole ndo inabidi afanye uliyosema na mwishoni tubebe kombe..

Kusema kuwa anamtengenezea mtu mwingine timu ni kudanganyana tu..na mfano wa Madrid na Zidane hautoshi kutuaminisha hili.
 
Mkuu hata hapo kwa namba moja wao ilitakiwa akae de gea,jamaa mweupe sana na anabebwa na city kutoshambuliwa mara kwa mara.
Na hata mashambulizi hayawi makali sana kama anayopitia dave baada ya chujio letu kutoboka pale back 4.
Angalia anachopitia Allison pale anfield.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…