Binafsi sioni kama tunahitaji zaidi kusajili wachezaji kwa sasa japo ni muhimu ili kuongeza nguvu. Timu ipo ila haina mtumiaji mzuri. Kama utapima mchezaji mmoja mmoja sisi na Manchester City sioni utofauti wao na sisi.Probably hatutasajili kabisa kwa hali ninayoiona
Ed hawezi mfukuza huyu anajificha nyuma ya kivuli cha Ole ili tufocus kuamini kwamba kilaza pekee pale United ni Ole ila kiuhalisia yeye ndiye chief strategist angekuwa smart msimu huu tungebeba EPL.Bado hajafukuzwa tu
Umeanza lini ushirikinaHiyo mechi tunashinda goli zaidi ya mbili
Sosha hana maajabu tena ni bahati tu ndio anayoisubiria kunyanyua kwapa....Yaani sisi bhana
Team za kujipatia vipoint kama hizi ndo tunacheza kama tunacheza na team kuuuuuubwa...tunacheza kama tunataka mpira uishe tu
Yaaaani kama tunatafuta draw na team ya maana,kumbe ni crystal palace
Tusubiri kipigo cha city sasa dadeki
Hii timu mpe klopp atakimbikiza miaka kumi pale epl....Wakuu kwa pamoja naomba tukubali kukubaliana kwamba Ole hawezi kutuvusha, tumemvumilia vya kutosha inabd aje kocha atakaye introduce mentality ya ushindi, wachezaji tunao ila wanacheza kizembe sn yn km hawako concerned na mashabiki, unakuta mchezaji zimebaki dk 2 mpira wa kurusha anachelewa au anazozana na mpinzani, pasi zinapigwa back passes wkt dk zimeisha na kocha hasemi kitu ame relax tu.
Kitu kingine ni kwamba huyu Ole ule mfumo wake wa double pivot umeshafeli na haonekani kuwa na mbinu mbadala amekariri mfumo huo huo, hamna kitu hapa.
Ana deni kubwa sana anatudai huyu“Refa unaniruhusu nikapige penati badala ya kona?”[emoji23]
View attachment 1716796
Hili swali nilishauliza sana humu ndani halijatolewa jibu.Unfortunately wewe ni katika minority, majority ya mashabiki wa man U bado wanamuhitaji na board Pia inamuhitaji.
Swali la kizushi tu nani aje akiondoka yeye? Na kwa nini?
Duuuh wachezaji wenu mnawafananisha na city[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Binafsi sioni kama tunahitaji zaidi kusajili wachezaji kwa sasa japo ni muhimu ili kuongeza nguvu. Timu ipo ila haina mtumiaji mzuri. Kama utapima mchezaji mmoja mmoja sisi na Manchester City sioni utofauti wao na sisi.
Hatuhitaji kusajili zaidi kwa sasa tunahitaji zaidi kubadili benchi la ufundi na Ed amlete mtu wa kufanya maamuzi kuhusiana na mpira huyu ndiye awe msimamizi wa benchi la ufundi (director of football, DoF).
Kama tukipindua msimu ujao hivi hivi bila msimamizi wa benchi la ufundi mwenye uelewa na uwezo wa kuendesha timu tutarudia makosa haya haya kila siku msimu uliopita tulikosa UEFA ndogo kizembe na sasa hivi mpaka january tulikuwa tunamzidi City point 1 lakini ndani ya mwezi mmoja na nusu anatuzidi point 14.
Hivi ni kocha gani kwa sasa anaweza kutuvusha hapa tulipo.Binafsi sioni kama tunahitaji zaidi kusajili wachezaji kwa sasa japo ni muhimu ili kuongeza nguvu. Timu ipo ila haina mtumiaji mzuri. Kama utapima mchezaji mmoja mmoja sisi na Manchester City sioni utofauti wao na sisi.
Hatuhitaji kusajili zaidi kwa sasa tunahitaji zaidi kubadili benchi la ufundi na Ed amlete mtu wa kufanya maamuzi kuhusiana na mpira huyu ndiye awe msimamizi wa benchi la ufundi (director of football, DoF).
Kama tukipindua msimu ujao hivi hivi bila msimamizi wa benchi la ufundi mwenye uelewa na uwezo wa kuendesha timu tutarudia makosa haya haya kila siku msimu uliopita tulikosa UEFA ndogo kizembe na sasa hivi mpaka january tulikuwa tunamzidi City point 1 lakini ndani ya mwezi mmoja na nusu anatuzidi point 14.
Mkuu kwa mpira wa kisasa ulivyo mahitaji ya kimbinu ni makubwa sana toka benchi la ufundi kuliko nyota ya home grown inayo mbeba Ole pale Traffolds. Kimbinu na kiufundi Ole ni mweupe kama karatasi hivyo tunahitaji mtu mwenye uelekeo mzuri kwenye maeneo hayo.Hivi ni kocha gani kwa sasa anaweza kutuvusha hapa tulipo.
Acheni shobo huyo arteta ana miaka 30 pale emirates. HAUZWIMkuu kwa mpira wa kisasa ulivyo mahitaji ya kimbinu ni makubwa sana toka benchi la ufundi kuliko nyota ya home grown inayo mbeba Ole pale Traffolds. Kimbinu na kiufundi Ole ni mweupe kama karatasi hivyo tunahitaji mtu mwenye uelekeo mzuri kwenye maeneo hayo.
1. Nagelsmann.
2. ARTETA
Ahahaaaaaaah!!!Binafsi sioni kama tunahitaji zaidi kusajili wachezaji kwa sasa japo ni muhimu ili kuongeza nguvu. Timu ipo ila haina mtumiaji mzuri. Kama utapima mchezaji mmoja mmoja sisi na Manchester City sioni utofauti wao na sisi.
Hivi ni kocha gani kwa sasa anaweza kutuvusha hapa tulipo.