Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Fred and McT is good to break the opposition rhythm but the moment you win the ball back, opposition will start pressing. At this point, their weakness shows- when pressed, they get panicked and give the ball back to them.
 
Kiungo je?..si ndo hitaji lako kubwa hilo?
 
Lazima ukubali kuwa ugumu ungekuwepo wa kiwango cha juu kabisa..sasa hivi timu zimeimarika,inabidi uwe vizuri kweli..mfano msimu wa 2012/2013 hatukuwa hata vizuri lakini tulibeba ligi(leave aside RVP effect)..nowdays kuna big six na ukiingia kichwa kichwa kwa kudhani wewe ni mkubwa lazima uchezee.
 
Kiungo je?..si ndo hitaji lako kubwa hilo?
hitaji langu ila si la mwalimu.
nilichojifunza kutoka kwa Ole
  1. anawaamini sana lindelof na maguire, kama atasajiliwa mlinzi wa kati atakuwa na shughuli pevu sana ya kuingia kikosi cha kwanza
  2. bado ana imani na pogba, kukosekana kwake ataendelea na mabwana wawili fred scott. Pia upo uwezekano wa kurudishwa kwa garner na levitt
  3. bado ana imani na martial, kumkataa martial ni kujikataa yeye mwenyewe, tukumbuke bwana mkubwa aliidhinisha kuuzwa kwa romelu lukaku, siyo tu kuuzwa pia alimbadilisha nafasi kutoka namba 9 hadi 7 kabla ya kuuzwa kwake(alitakaa atokee pembeni)
  4. tusubirie dirisha lijalo, pengine kombe la euro linaweza kutupa wachezaji tusio wafahamu
 
muongeze na michael carrick alikuwa onfire
 
Angekua Antony Taylor au yule mpuuzi alotishiwa maisha Mike dean hii game mngeshinda. Wao ndio hua hawaoni haya kuonesha mahaba ya waziwazi kwenu.

Chri Cavanagh was fair mno.View attachment 1714524
Yaan watu wanasahau mno wanalilia penalty wamesahau Hilo tukio la kabali ya Maguire....au Ile ya msimu uliopita anamkanyaga batshuayi kwenye mbupu
 
Sawa ila Man City Ya Manchini Ilikuwa ni bora kwa kikosi kuliko hii ya sahivi. Ferguson alikuwa anaweza kucheza era yoyote ile ya mpira kama unakumbuka ni hichi kipindi tunatolewa uefa kwa hujuma za refa na madrid ya morinho. Point tulimaliza na 89 mtu wa pili man city 78. Maan ake ingetokea ushindani zaidi mzee angepandisha level zaidi alikuwa na tools. Kikosi cha Man U ule msimu kina fanana na liver asilimia kubwa. Viungo wa kawaida ila waliokuwa motivated na magame changer kama walivo mane na salah kule n rooney na van persie na louis nani alikuwa form kiasi.
 
Ni kweli kuwa United walim-raid Pep kwenye ishu ya Fred. Na Fred ni mchezaji mzuri kwa timu zote mbili ila ilichohitaji United kwa wakati ule ni mchezaji wa kiwango cha juu kuweza kuziba "pengo" la Pogba kama ambavyo Bruno amekuja kufanya.

Naweza kukwambia kuwa machagulio matatu ya kocha kwenye kiungo cha ukabaji yalikuwa;

1. Sergej Milinkovic Savic
2. Marco Veratti
3. Fred

Hivyo wakati Ed anaamua kumsajili Fred City walikwisha anza mchakato ila mara zote Pep hapendi kugombea mchezaji. Kama ilivyokuwa kwa Sanchez na Mahrez.
 
nimeiona miguu ya xavi kwenye mwili wa fecundo pellistri.
huyu dogo hawezi kuwa winga imara kwa ligi ya uingereza, itapendeza kama atasukwa awe namba 8
 
Akiendelea hivyo makombe atayasikia tu
 
Ole anaweza sajili kila aina ya mchezaji unaye mjua na bado tukaishia nafasi ya 4 hakuna kocha kabisa pale Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…