christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 3,331
- 5,487
Huwezi elewa wewe Carrick pia ana matatizo yake nilishayataja hapo na ameshapoteza dressing roomShida sio Carrick,shida ni management na wamiliki.
Huwezi elewa wewe Carrick pia ana matatizo yake nilishayataja hapo na ameshapoteza dressing roomShida sio Carrick,shida ni management na wamiliki.
Bado tu unatunyanyasa haliyakuwa tumeshajifia.Huu uzi nitaanza kupost picha za mademu wenye chura.
Nawapa saa 24 mjitokeze la sivyo hapa panageuka danguro
Tutamlinda kwa wivu mkubwa 😂 😂 😂
Basi mkuu naachaBado tu unatunyanyasa haliyakuwa tumeshajifia.
Watu bana.Bruno teethnandez
View attachment 3702396
Aisee.....Kabla ya vipimo Madaktari waligundua tatizo mapema sana.View attachment 3702453
Alafu ujue hiz picha kama masihara kumbe ndio serious wahuni wanapikezana vijiti tu😃😃Kupikezana ni zamu ya roma sasa UEFA