City kashatangaza ubingwa....★UK Prime Minister Boris Johnson has announced that fans could return to sporting events from May 17. The final weekend of the Premier League, on May 23, could potentially be played in front of a limited number of fans.★
#GGMU
#SkySports
manutd |
Huu usajili kwa mm binafsi wala sioni kama una tija, mm namtaka Haaland.★Contrary to reports, #mufc 'absolutely want' to sign Jadon Sancho in the next transfer window. The 'transfer poker’ has already started ahead of the summer★
#GGMU
manutd |
Wewe Havertz hajaflop. Poa motoUngesema ata floap kama Harvat ungeeleweka.
Huyu mwana tuachane naye tu..tumtafute Goal Machine bwana mdogo Haalland.Huu usajili kwa mm binafsi wala sioni kama una tija, mm namtaka Haaland.
Hii comment nilichelewa kuiona.Radika watu awaoni OGS kaboresha timu wao ni wanasubiri OGS afungwe game moja wajifiche kwenye kivuli cha hakuna kocha umu
Watu wengi wanashindwa kutofautisha kati ya style of play na talent. Messi ni namba kumi anakimbia kama manamba kumi wanavokimbia. Messi ni mfupi hawezi kuwa na movement sawa na ronaldo. Eti Ronaldo hana kipaji watu wanachekeshaga sana wakiongea hyo kauli. Watu wangapi wana ndoto za kuwa best players wa karne wanashindwa na wanawork hard.Hivi nani anayesema huyu jamaa hakuwa natural? Alitaka kumaanisha nini kwa mfanoCR7 the beast
Sas kama tumeanza kuona matunda ya kurudi kwenye kiwango kwa dani james kwann mtu bora mara mbili kuliko james tusipate mabadiliko chanya zaidi. Man U hatuna right winger kuliko forward trust me. Kocha kuna kitu anataka kuimplement kuwe kuna speedy movement na passing interchange ya kutosha kitu ambacho sancho ni mzuri sana. Wanasema ni mchezaji pekee manchester hayupo anaefit mfumo wa manchester kwamaan kwamba uwezo wa kupick a pass katika full speed wakati rashford na martial hawawez mpaka wapunguze speedHuu usajili kwa mm binafsi wala sioni kama una tija, mm namtaka Haaland.
Sasa wewe unaweza kuifunga ATL? angalia tumewasha moto ni kula vichwa tu kwa sasa...Kumbe mdomo wote mchafu huo na majigambo yote hayo ni shabiki wa Chelsea?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemaliza..Shida tuna malengo gani? Tunashindana na nani ndo tatizo. Mimi upande wangu solkjaer sna tatizo nae game za kawaida hizi. Swala ni kwenye game muhimu anatukwamisha sana kutokana sijui ufinyu wa mbinu au ni uoga au vyote kwa pamoja. These games; vs sevilla yester year, vs chelsea same year(fa cup), vs southampton( league), vs instanbul this year(kwann hatukucapitalize mapema mpaka tujiekee mazingira ya kushindana na psg, vs psg( 2nd game. Hapa lilifanyika kosa moja la ajabu fred alikuwa anacheza rafu sana alionywa sana na pogba yuko nje), vs leipzig( most heartbreaking. Kwann kikosi kile kwa timu tulioipiga 5 O.T) , vs Man City( Carabao) , vs liverpool( with that backline), vs arsenal( no auba no saka no tierney). Solkjaer hana patterns of play nd maan wachezaji wetu kama rashford wanachoka sometimez maan wanatakiwa warun distance kubwa everytime kupenetrate backline. Timu haina improvement kila msimu iko pale pale jpo kasaidia kurudisha mood. Hamotivate wachezaji hana confidence yeye mwenyewe nd maan anaingia msimu wa pili full anasema hagombanii ubingwa wakati mazingira yaliruhusu. Siwez kuja kumsamehe kamwe lbda abebe EPL au uefa kwa kututoa nafasi kwanza kwenye kundi hadi kutofuzu kwa timu kama Leipzig.