Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwenye mechi muhimu anapoteza chance nyingi kwasababu zinazoepukika kutokana na ubinafsi wake.
Takwimu za Rashford zinaonyesha kuwa dogo ni lethal zaidi against big teams ambazo mara nyingi ni game muhimu kushinda.

Sikatai kwamba kuna wakati anapoteza chances muhimu lakini ni mchezaji gani ambaye hakosi nafasi za wazi duniani ?

Kwanza tunapaswa kuappreciate dogo uwezo wake wa kupata hizo chances nyingi uwanjani maana yake positioning yake na runs zake uwanjani ni dangerous kwa timu pinzani.
 
Yaani ufurahie chance zinazokoswa?Wakati huna uhakika kama zitapatikana,Huyo dogo amezidi ubinafsi hii pia ni sehemu ya kuchezea chance.
 
Frank Leboeuf tells ‘sloppy’ Manchester United star Marcus Rashford to become ‘a killer’

Leboeuf, the former Chelsea centre-back who won the 1998 World Cup with France, is a big admirer of the England international but thinks he has to improve his finishing if he’s going to become one of the world’s best.

‘What I want to say about Rashford… he’s a fantastic player,’ Leboeuf told ESPN.

‘I didn’t want to play against those kinds of players because they go so fast, technically unbelievable.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…