OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Mumewaotea wavimba macho ila tunajua huwa hmfiki popote na hata mkifika basi ni semi final halafu ni kipigo cha mbwaSiku Ole unapomuaminia ndio anakuangusha. Siku uliyokata tamaa ndio anakupa matumaini
Wewe uibiwe simu ..una simu ya kuibiwa wewe? Wee sema ukweli tu umeuza ili upate sururu ya kuchimba mashimo.Dah, ndugu zangu, kuna wenda wazimu wamenii bia simu yangu juzi, nime geuka wakuazima simu tu.
Jana kutwa mzima nimeshinda nikipagawa hivyo kushindwa kujuika humu ndani, leo kwa ushindi huu nimemuazima mchizi boti flani ili nijumuike na wadau.
Tuko pamoja wadau, mwaka huu atukosi kombe angalau moja.
Chengine nawaomba wadau Sorkskjaer tumkubali atatuvusha.
Wewe uibiwe simu ..una simu ya kuibiwa wewe? Wee sema ukweli tu umeuza ili upate sururu ya kuchimba mashimo.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Unatamani iwe hivyo ila ndio haiwezekani, Mana Bissaka, Rashford, Martial, Fred, Greenwood, na Pogba ni wazungu ndiyo maana Ole anawapenda.Nishasemaga kitambo hapa ..Ole ni racist aliyevaa ngozi ya kondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu m'baguzi wa kiwango cha lami.
Angalia anaenda kuua kipaji cha Dialo kwa sababu ya uracist wake.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
KitoabuWewe uibiwe simu ..una simu ya kuibiwa wewe? Wee sema ukweli tu umeuza ili upate sururu ya kuchimba mashimo.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Nishasemaga kitambo hapa ..Ole ni racist aliyevaa ngozi ya kondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu m'baguzi wa kiwango cha lami.
Angalia anaenda kuua kipaji cha Dialo kwa sababu ya uracist wake.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Dogo si unaturn 19..huu sio umri mdogo sana kama mchezaji ana kipaji na akili ya mpira.Ila kwa dialo kocha yupo sahihi sana yule dogo amr mdogo mno kumchezesha dakika 90 ni ngumu
Dogo si umeturn 19..huu sio umri mdogo sana kama mchezaji ana kipaji na akili ya mpira.
Kweli kabisa.Bruno Fernandez anaidai kombe klabu ya manchester united.
Huyo mtu hatari, km tm yetu ingekuwa na consistency ya kushinda na kubeba makombe, basi ballon dor ilikuwa inamhusu huyu mwamba.Ila bruno
Bruno Fernandes now has 52 goal involvements since making his Manchester United debut.
Only Leo Messi (53) and Robert Lewandowski (67) have more in that time.
World class
View attachment 1706162
Hv ukiungnish kweny dstv unakuw hutumii mbMkuu si uniunge kwenye dstv now yako nisafirie nyota