Dah, ndugu zangu, kuna wenda wazimu wamenii bia simu yangu juzi, nime geuka wakuazima simu tu.
Jana kutwa mzima nimeshinda nikipagawa hivyo kushindwa kujuika humu ndani, leo kwa ushindi huu nimemuazima mchizi boti flani ili nijumuike na wadau.
Tuko pamoja wadau, mwaka huu atukosi kombe angalau moja.
Chengine nawaomba wadau Sorkskjaer tumkubali atatuvusha.