Hii liverpool wakulaumiwa ni kocha walipokuwa juu klopp hakuendelea kutafuta wachezaj wakubwa akarudi kule alipowatoa wakina salah na robertson walitakiwa kuendelea mbele habar za wachezaj wa £2 ndio wanawazamisha sasa sir alex hakuacha kununua wachezaj wakomavu hata kama wakina welbeck walichukuliwa toka kwenye academy ndio siri ya manchester united kutawala soka la england kwa muda mrefu
Angalia kama hapo huo ni mfano tu bado tevez, rooney
Hahahahahahahhaa city bingwa kweli anashinda mfululizo hizo ndio sifa za timu ya kubeba ubingwa huwez kushinda mech 2 ya tatu una drooo au kupigwa kisha unataka ubingwa
Unafikir mm mtoto mwenzio kwamba ukitumia lugha kama hizo ntaingia huko kwenye huo ujinga na upuuzi we dogo hapa umefulia hizo kauli zilikuwa zikitolewa na washamba wa jf miaka ya 2014 huko now days wajinga ndio wanaendeleza hizo ligi za lugha za hovyo hapa unakimbizwa mdogomdogo kadri unavyopanic ndipo unafunua ubongo wako wa ujinga