The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Leo ni mechi imetuumiza sn mashabiki dunia nzima, yn magoli ya kipuuzi sn tumefungwa leo licha ya forward line kupambana.Kwamba hawa hawajui kwamba kuna upuuzi?
Kwanza sijawahi kuzungumzia ubingwa kamba ole atabeba hakuna hiyo post humu huwa napenda timu ishinde tu hamna kocha wa ubingwa paleView attachment 1696342
Leo ni mechi imetuumiza sn mashabiki dunia nzima, yn magoli ya kipuuzi sn tumefungwa leo licha ya forward line kupambana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Msiba wa wengi sherehe, lala tu mkuu mm wacha nikeshe mana nahisi nina hasira kuliko wewe mkuu.Usingizi umekata kmkkk..
Nina hasira sana aisee..
huyo rashford munaemponda kwamba ni mchoyo ndo huyo huyo amepiga cross cavani kafunga kichwa, tatizo mashabiki wengi wa man u humu muna favourites, kuna watu hata wakizingua kwenu sawa ila wengine ni kosa wanakuwa mbuzi wa kafara.Huyu huyu anakujaga na starts za martial na rashford ambao kila mech 7 au hadi 10 wanafunga goli moja anawasifia balaa
Kinachoudhi ni jinsi tulivyocheza yn tumecheza vizuri sn, sijawahi kushuhudia tukicheza mpira mzuri hv tangu msimu huu uanze lkn matokeo ndio haya, totally absurd.Kabisa mkuu imekera sana hasa aina ya goli walizotufunga
huyo rashford munaemponda kwamba ni mchoyo ndo huyo huyo amepiga cross cavani kafunga kichwa, tatizo mashabiki wengi wa man u humu muna favourites, kuna watu hata wakizingua kwenu sawa ila wengine ni kosa wanakuwa mbuzi wa kafara.
cavani kakosa goli ngapi vs arsenal? angekuwa ni martial ama rashford yangekuwa matusi ya kutosha tu. so far rashford ndio forward wetu aliejitahidi kushinda wote msimu huu, na whoscored wamemtangaza kama man of the match mechi ya leo vs everton
View attachment 1696350
Mwache tu bhn kwn humjui Chief-Mkwawa? Atakuja kukuletea statistics kwamba tuanzebe ndiyo alikuwa man of the match leo.Hata saa mbovu kuna muda inakupa majira hao ni sawa na majogoo ya dar yanawika hadi saa nane za usiku unaweza kufikir pana kucha
Kinachoudhi ni jinsi tulivyocheza yn tumecheza vizuri sn, sijawahi kushuhudia tukicheza mpira mzuri hv tangu msimu huu uanze lkn matokeo ndio haya, totally absurd.
Sent using Jamii Forums mobile app
Imeshangaza sn aisee, yn leo kocha angekuwa anafundisha madrid au barca ilikuwa aondoke leo leo, hawafugi majini kule.Mpira tumecheza vizur sana tena sana shida ukuta na sub za kocha wetu ndio hizo zinakera na waingereza wake wale madogo leo hadi nilimsifia greenwood kwa kazi aliyopiga ole kaharibu kazi greenwood kwa dakika moja tu
Unawezaje kufanya sub ya greenwood? Unazuia dakaka ya 93?
Ss haina mana mkuu wamemuharibia party wasenge flani hv akiwemo na kocha.★What a goal, Bruno Fernandes!★
#GGMU
manutd |View attachment 1696364View attachment 1696365View attachment 1696366View attachment 1696367
Siku hizi tuna vichezaji vina masiala mno kinapewa pasi ya kuunganisha kinarudisha nyuma zen kinautoa mpira nje.