Dogo Amad anaonekana sio mbinafsi kabisa..Jana katoa assist tatu na ni assist za upendo kabisa..Yaani daaahh....!!
Kuna-combo moja ya hatari sana kati ya Amad na huyu dogo namba Saba. Dogo namba Saba anachojua ni kufunga tu mwanzo mwisho, Na huyu Amad ni goal producing Machine. Dogo ananyumbulika bazoka isubiri..!! Anagawa mipasi yachumban kabisa...anaunganisha timu mbele na nyuma..!! Aisee.. huyu dogo asiendelee kusubiri sana kule.. kwa mipasi yake Cavan mbona anaondoka na mpira kila mechi..!!
BACK TANGANYIKA
Mkuu kucheza U23 ni kawaida. Ni kama kautaratibu fulani hata hawa wachezaji wakubwa wakiwa wameumia muda mrefu, wakipona kabla hawajarudi kwenye nafasi zao wanapiga at least mechi moja ya U23.Sijajua sosha katumia vigezo gan kumchezesha huko under 23 wakat huyo dogo kacheza atalanta timu ya wakubwa
Huyu akija timu ya taifa huku lazima wamrogeHapo ndipo atafeli ss, aachane na mambo ya huku kusikokuwa na shukurani, Messi mpk leo angekuwa the greatest km angekubali kuiwakilisha Spain japo kwa Messi haikuwa mby cz Argentina ni nchi kubwa kimpira but kwa Africa simshauri kabisa, huku kuna upuuzi mwingi mno, chuki, kijicho plus misumari.
Ole anazingua Dogo kacheza hadi Champions leagueSijajua sosha katumia vigezo gan kumchezesha huko under 23 wakat huyo dogo kacheza atalanta timu ya wakubwa
Ole anazingua Dogo kacheza hadi Champions league
Usisshangae sosha hajielewi anataka niniHapo ndipo niliposhangaa sana
Tatizo kwenye hizi big matches tumeingia sana kiuoga uoga..Arsenal sio timu ya kushindwa kuchukua japo point tatu.Hivi Ole aligawaje points kwa Gunners,dah sitakuja kumsamehe labda UTD uchukue EPL au ndoo yoyote this season
Round hii manure tunapigwa tena na Arse8.Hivi Ole aligawaje points kwa Gunners,dah sitakuja kumsamehe labda UTD uchukue EPL au ndoo yoyote this season
Ana timu dhaifu tu huyo ingekua westham mwenyewe ningeogopa.....Babu anchelloti leo ana jambo lake hapo Oldi traffodi
Oya wakuu nimemuangalia huyu mtoto namuona Messi wa under 20, nawaambia ukweli huyu mtoto waingereza hawamuachi aende akawakilishe Ivory Coast, wanamchukua huyu mtoto save this comment.