Tevez a.k.a Apache.★Happy Birthdaty to Ronaldo (36), Tevez (37) and Adnan (26).★
#GGMU
manutd | View attachment 1695243
Wachezaji wa ki-America wanakataga moto mapema sana..sijui ni pesa inawachanganya maana wengi wanatoka maisha ya chini sana★Happy Birthdaty to Ronaldo (36), Tevez (37) and Adnan (26).★
#GGMU
manutd | View attachment 1695243
wanadanganya umri kama Africa, unless katoka academy za ulaya.Wachezaji wa ki-America wanakataga moto mapema sana..sijui ni pesa inawachanganya maana wengi wanatoka maisha ya chini sana
Anaspeed nzuri,ball control,sio mbinafsi anajua kufunga.Tunacheza na Everton kesho saa tano usiku na itakuwa siku ya kuwakumbuka watu wetu kwenye ile ajali ya ndege ya Munich..Ushindi utakuwa mzuri sana kuonyesha kuwa United spirit bado ipo.
•••••••••
My Starting XI vs Everton
==========
De Gea
AWB Lindelof Maguire Shaw
Fred Pogba
Greenwood Fernandes Rashford
Cavani
============
✓Digne+Richarlson inabidi wawekwe mfukoni..kazi itakuwa nyepesi
✓Bailly naye kama zile beki za Liverpool,kila muda anaumia hata kama hachezi..
✓Wazee ambao mna MUTV na mnacheki games za U23 mtuambie Amad perfomance yake vipi?
GGMU
Hii mechi ngumu mkuu ,,,inabidi tuwe na holding wawili !!!!Tunacheza na Everton kesho saa tano usiku na itakuwa siku ya kuwakumbuka watu wetu kwenye ile ajali ya ndege ya Munich..Ushindi utakuwa mzuri sana kuonyesha kuwa United spirit bado ipo.
•••••••••
My Starting XI vs Everton
==========
De Gea
AWB Lindelof Maguire Shaw
Fred Pogba
Greenwood Fernandes Rashford
Cavani
============
✓Digne+Richarlson inabidi wawekwe mfukoni..kazi itakuwa nyepesi
✓Bailly naye kama zile beki za Liverpool,kila muda anaumia hata kama hachezi..
✓Wazee ambao mna MUTV na mnacheki games za U23 mtuambie Amad perfomance yake vipi?
GGMU
Mkuu nmecheka baada ya comment yako !!! Anyway,,,wanadanganya umri kama Africa, unless katoka academy za ulaya.
si unamuona diego costa, kastaafu kilazima lazima,
Wachezaji wa ki-America wanakataga moto mapema sana..sijui ni pesa inawachanganya maana wengi wanatoka maisha ya chini sana
Nakubaliana nawewewanadanganya umri kama Africa, unless katoka academy za ulaya.
si unamuona diego costa, kastaafu kilazima lazima,
Wacha weee