Kumbe inakuuma mpaka leo
NILETEENI EVERTON ,
Hio Ndio keypass maana yake. Key pass ni aina ya passi ambayo inafaa kuitwa assist.Na bado shaw anacheza na wakina martial ambao ufungaji wao unatia shaka ndio maana assist hakuna za kutosha
yes Rooney wakati mdogo alikua mkorofi Sana inasemekana bila kua mikononi mwa Fergie career yake ingeharibika mapema sanaHiyo picha yako rooney aliwapiga liverpool goli kisha kawafuata mashabik wa liverpool na kuwafanyia hivyo hapo lilikuwa lidogo sana
Tulia wewe huna ulijualoNyie NYUMBU aka PUNDA Kama PUNDA kwa kuonga marefa hamjambo.
Elmatador ni Proper no 9. .Mtanisahihisha jana kwa mara ya kwanza naona cross ya luke shaw inatua sehemu sahihi na ed anaandika nipo radhi kusahihishwa.
Hivi Bruno na salah wanacheza position sawa?Bro acha kufananisha kifo na usingiz bruno ni mtoto mdogo sana kwa salah mdogo wang salah ni world classic play
Na za Liverpool.Good 3pnts!
Shaw ameimprove Sana , same kwa AWB, hasa upigaji wa Kross !!!
Fred was awesome
Good to see martial one score sheet, ata-gain confidence !!!
Kuna save moja hivi ya de gea, nadhani mpira wa adhabu ulipigwa na ward powse,,,ile save ukienda nayo bank unapewa mkopo within a second !!!
Points 3 za shelfield tutazikumbuka Sana , anyway!!!!!
#GGMU
Washika manati wanasema msimu huu hawataki ubingwa wala top 4 hawana mpango nayo, wenyewe wanatengeneza timu tu.Baada ya arsenal kushinda sinia na birika wengi walijua top 4 au ubingwa ni lazima manchester united hatukufikiriwa cha ajabu washika manati wa london hata dalili ya kushika nafasi ya 7 hamna maana kibarua cha kwanza apambane na aston villa kabla ya spurs na everton hapo chelsea west ham nao kikwazo kwake ambao kawazidi michezo kibao na wanamshinda point
Kwa hiyo makasiriko kujaa hapa ni lazima
Uyu mwamba uyu mbishi sn★Scott McTominay’s game by numbers vs. Southampton:
100% dribble success
100% aerial duels won
100% tackles won
90% pass accuracy
40 final third passes
7 ball recoveries
2 shots
1 goal★
#GGMU
manutd | View attachment 1693373
Nyie NYUMBU aka PUNDA Kama PUNDA kwa kuonga marefa hamjambo.