Hako ka jamaa kanateseka sana na bruno halafu ndio tuvimba macho twenyewe huto post zake nyingi za wivu tu vile vijitu vyenye roho mbaya vinatafuta namna ya kujipoza machungu kwa kufosi makosa
Huko liverpool hivi hamna mchezaj wao aliepiga penat toka hiyo timu ianzishwe kakija hapa ni bruno tu sijui kakafanya nn katanzania ke nzetu mbona salah na mane wanapiga sana penat kuna mtu ana muda nao?