Scott & Fred huwa hawana mashauzi, Fred naona Hadi dreads zinamsumbua kaamua anyoe. Kifupi hawanaga kazi mbovu, japo hawaimbwiMc apewe Man of the Match.
Apongezwe kwa nini alichofanya?Leo simsikii mtu akimpongeza Sorskjaer, munasubiri tufungwe muanze kuleta mpira wenu wa kibongo (kulaumu makocha)
★Mkuu una unabii ndani ako kazana★
Sasa aache?Na Bruno bila aibu kafunga![]()
SawaHii game hamtoboi japo sisi soton tuna red kadi