radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Umeanza kubebwa tena.
Tunaomba Klopp atoe tamko..
Akipigwa anaiwaza united jana kashinda kafurahi mwenyewe
Umeanza kubebwa tena.
Tunaomba Klopp atoe tamko..
Hii red card imeharibu mpira ila man u katumia advantage.Kibaya zaidi ktk historia ya hii timu ukiongozwa 2+ hupati hata suluhu mkienda mapumziko hasa uwanja wa nyumbani
leo mashetani wanashusha kipondo cha hatari kurikava maumivu ya mashabiki wake.Leo jamani?
Mbona raha sana!
Mkuu ninyi manure mtabweteka na sisi Southampton tutakaza kutafuta hata draw ..bado nina iman na timu yangu ..SouthamptonUkirudi si comment tena.
Kwa kichapo hiki?



Huku kwetu upo mkuu.Ma tanesco yamekata umeme
Hii ni dalili mbaya magoli yanaweza kurudi.Ma tanesco yamekata umeme


Tumia simu kiongozi.Ma tanesco yamekata umeme
Huku kwetu upo mkuu.
Tumia simu kiongozi.