Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Buy (proper)

RW
ST (not even Haaland: we missed our chances already)
DM

Sell

Martial
Matic
Lingard
Jones
Chong

Keep

Pogba
Dalot
James (Loan e.g. Leeds)
Garner (Extend Loan)
Mata

Keep Ole at the wheel!
Go for it again!!!
BE TITLE CONTENDERS!!!
 
Nilishasema uwezi kuwa bingwa Bila kushinda games za big six mkanibishia humu nyie pambaneni na top four tu
 
Nilishasema uwezi kuwa bingwa Bila kushinda games za big six mkanibishia humu nyie pambaneni na top four tu

Alikosea mech ya shefield united palepale kila kitu kikaharibika siku zote timu ndogo zinakupa point wachambuzi wote nguli duniani wanazungumzia mech hiyo ambayo sosha atajutia ktk maisha yake ya ukocha sio ya arsenal kutomfunga ina maana kama angeshinda ile mech ya shefield united angepata point 4 liverpool anarekod nzur sana msimu huu lakin bado hata akishinda leo hawez kumpita point united kwa nn? Man city anawapita point 7 wakat kashinda mech mbili tu liverpool kapoteza hizo point wap? Kwa hawa big 6 jibu ni hapana kapeleka kwa wadogo ambao wenzie wamezichukua kwa hiyo uiwano unarud palepale ni sawa na zero yaani kama kuchukua hela kisha unaweka mfuko uliotoboka zitakaa?

Ila sasa ukitaka kuchukua ubingwa usherehekee kwa raha funga na wakubwa hapo timu inakuwa imetimia arsenal wa 9 kashinda mech mbili za big six na anaweza kuwa wa 10 kama chelsea aliemfunga akashinda kwa burnley je point 6 zimemsogeza top 4? Hizo point kapoteza wap? Ndio hizo zinanyukuliwa na wajuu yake
 
Rashford

Martial

Cavani

Fernandes

All out of form IMO...Rashford+Martial besides kuwa out of form bado wanavyocheza at times utadhani hawana akili,hawa ndo watakuwa obstacle ya sisi kwenda mbele,it's better tulifanyie kazi hili mapema.

Kama jana hatukucheza vibaya sana kwenye build up..shida ni kumaliza chances tunazozipata.

Against top six hatujafunga hata goli moja kwenye open play..tuna goli moja tu la penalt dhidi ya Spurs.

Fred✓✓

AWB ✓✓
 
Bado mtakataa tu lakini mgeshinda hata mbili huyo city mgekuwa mmepishana point tu
 
Hivi huyu Fred hili lidudu analiweza kweli??
Partey ametoka majerui jana amecheza chin ya kiwango sana
Lakin dimba zima sijamuona mjingi pogba wala mpuuzi Bruno au kichaa Fred
Mac Tommy ndio alikubal mapema sana akaone atoke tu
 
Sisi man city ni mwendo wa cleen shit tuu

Japo watu wanabeza ,tunachukua point 3 kwa mid table tim ,lakin wengine wameshindwa kuchukua


Hahaaa
 
Hii timu inacheza kwa kubahatisha tu ,haina tactics

Mbaya zaidi inataka ubingwa

Polen sanaa
 

Cha ajabu wa 9 na hilo dude lipo chelsea akishinda tu mnakuwa wa 10 sasa linawasaidia nn? Kwa hiyo nafasi ya 9?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…