Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
Sibishani na mambo yaliyopita Mimi....Wewe kwa utabiri nani wa kukushinda tatizo kamali unazobet unaleta hadi huku rudi hukuView attachment 1685698
Huko mm sipo kesho yangu siijui
Pep kasema ka manchester city kanahitaji kushinda makombe ili awe kama baba lao manchester united rol model wenu yaani
Huo ndio mjadala hayo ya kushinda makombe hata ka manchester city hakana uhakika achana na kamari
Sibishani na mambo yaliyopita Mimi....
Urefa bado tumo, punguza jazba.Mpaka sasa
Sioni mnalengo gani kwanza
Uefa out
Carabao out
EPL hamna pumzi (hili linajulikana ila mmekaza kichwa na ubongo kama chuma cha pua et mtachukua )
Fa ,nasema hivi bila kumungunya maneno utd inataka fa ,ila bahati mbaya uwezo wa kuchukua huna
So mwaka huu mnaambulia
Zero trophies
kumbe jf kuna vipofuUnaona ulivotahira
Tupo 2021 unaleta mambo ya 2010
Wewe n zaidi ya kilaza
😂😂😂et welbeck daah kitambo sanaa huyu mwambaKwa game ya jana liverpool walimfanya Rashford aonekane kama Pele yani.
Kila alichokuwa anakifanya kilikuwa poa sana tu.
Ile pressing ya goli lake alicheza kwa dharau utadhani golikipa alikuwa farouk shikalo.
Ila siku akiamka vibaya unatamani akachezee arsenal kama ndugu yake welbeck
We can give them for free