Mi nimeona leo. Mara nyingi huwa nauona ubinafsi mkubwa.Anazitoaga sana sana
Sahihi, hata Mimi sioni seriousness ya game. Labda corona nayo ina aina yake ya uchezaji.Sema kama bonanza fulani wachezaj wa timu zote hawapo serious
Naona umekaa pembeni na pop corn zako.Ndiyo nayaona hapa. Pasuaneni tu.
Wanaomsema Leo wana lao, tangu mechi imeanza sijaona tatizo lolote kwake.Rashfoooooooord 2-1
We bwege utajarogwa shauri yakoKama upo karibu na shabiki wa Livakuku, mpe mbata, nakuja kukutetea.