Kitoabu nilisema mtafungwa kwakua liva ataanzisha first 11 kama alivyowafanyia Villa. Kumbe Ole kaona isiwe tabu na yeye kaweka mziki wa cd 700.
Misimu 2 nyuma Liva alikua harisk kuumiza wachezaji kwakua alikua analenga ligi au ucl safari hii anauwasha moto kwenye makombe aliyokua anayadharau. Kama Ole kaanzisha hiki kikosi katika kombe hili hii inamaanisha bado hana kipaumbele so analenga kila anachokiona hoping kimojawapo atakipata.