Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Tatizo lenu uwa mnaonekana kwa msimu tu. Sasa ndiyo mnajazana humu; badae mtaanza kujifanya mpo bize!
Muwe mnakuwepo siku zote; kwa nini mkimbie?!?
Binafsi nadhani David Moyes anastahili lawama kwasababu zifuatazo.
Alipokabidhiwa mikoba na Sir Alex kwanza alitakiwa asikubali kuwaacha makocha wenye uzoefu wa muda mrefu kama Rene Meulensteen,Mike Phelan na Erick Steele.Hii ilikuwa roho ya Sir Alex kwa ujinga wake David Moyes akakimbilia kuanza na bench la waalimu wasiokuwa na ujuzi na uzoefu Phil Neville na Ryan Giggs !.Hili kwangu lilikuwa ni kosa kubwa kuliko makosa ninayoyaona wakifanya baadhi ya wachezaji.
Pili Moyes mara kadhaa timu inapozidiwa dhahiri anashindwa kufanya mabadiliko ya haraka.Mfano mechi na Man City Ashley Young na Valencia walitakiwa kubadilishwa haraka lakini waliachwa waendelee kuzamisha jahazi.
Tatu Moyes ameshindwa kuhandle press conference hasa timu inapofanya vibaya,amekuwa akitoa matamshi ya kuwaponda wachezaji kwamba wanacheza chini ya kiwango lakini anasahau kikosi alichorithi kilichukuwa ubingwa wa EPL !.
Nne Moyes alishindwa kufanya usajili wa maana wakati muda wa kufanya usajili alikuwa nao.isitoshe alikuwa ana nafasi ya kumsajili Fellaini kwa fedha pungufu 4 milioni lakini alisubiri hadi dakika za mwisho akamsajili kwa bei kubwa wakati alitakiwa kuwahi kumsajili mapema kama alikuwa katika mipango yake.
Tano Moyes alitumia mbinu za kijinga wakati wa usajili badala ya kupanga mipango kama alivyofanya mtangulizi wake aliamua kwa makusudi kutumia vyombo vya habari na matokeo yake akakosa target zote muhimu.
Mwisho kwa maoni yangu Moyes kashindwa kuwatumia baadhi ya wachezaji ambao naamini wangesaidia sana timu.Mfano mpaka sasa nashindwa kuelewa ni kwanini Zaha hapewi nafasi,ni kwanini Kagawa hapewi nafasi ya kutosha,ni kwanini mpaka sasa mchezaji kama Januzaj hajapewa mkataba au ndiyo yale yale ya Pogba.
Ati Ngongo anajitia kurejea thubutu!, wameiba saini yake tu kule ARS tayari kakimbia chijui anataka kwenda kumchalimia Mungiki Brother kule Kibera .... ... Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
News alert ... ..
Moya amesema anataka kurudi Everton mambo ya ushoga hayawezi? Khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
hahahaha!hata Mzee wa Ngwasuma Fellain el saadat amesema anataka kurudi Fm ACADEMIA,
picha inagoma ikikubali nitawaonyesha kiuno kilivyokuwa kigumu pale Msasani club(OLD TRAFFORD) amesema hawezi kabisa kumwaga mauno
Mkuu wangu Nzi hii habari nimeisoma tangu jana ebu pitia the sun utaiona,tena Sir Alex alimshauri lakini akakataa katu katu.
Na kweli hamshikiki katika mbio za kurudi nyuma.
Possible lineups
Shakhtar
Pyatov; Srna, Kucher, Shevchuk, Rakitskiy; Hubschman, Teixeira, Costa, Bernard, Luiz Adriano; Taison
Man United
De Gea; Evra, Vidic, Evans, Rafael; Valencia, Carrick, Fellaini, Nani; Rooney, Van Persie
Source
Preview: Shakhtar Donetsk vs. Manchester United - Sports Mole
The squad that trained today at the Aon training complex before flying to Ukraine.
De Gea, Johnstone, Lindegaard; Büttner, Evans, Evra, Ferdinand, Jones, Rafael, Smalling, Vidic; Anderson, Carrick, Cleverley, Fellaini, Giggs, Nani, Valencia, Young; Hernandez, Kagawa, Rooney, van Persie, Welbeck
Manchester United train ahead of Shakhtar Donetsk trip - Official Manchester United Website
Watu wanadhani kazi ya kuziba pengo la Mkongwe ni kazi rahisi tu, Mfano mzuri ni De Gea watu walikuwa wanamponda sana kuwa hafai na hana kiwango cha kuwa Utd lakini leo watu wote kimya. The same kuziba pengo la Ferg si kazi rahisi lazima kocha apate muda wa kuijua timu ndani na nje na aweze kujenga timu katika mfumo anaoutaka