Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
Wewe nintakataka unajua offside kweli wewe
Unajua mashabiki wa man u ni vilaza ,unawazid marefaa na wameochezesha game nzima
Kwa akili zako lile goli ni offside ,yule beki wa astonvilla kaiua offside kwa kuucheza mpira ,kwanyanganywa offside ikawa kwisha
Nyumbu ni nyumbu tu hawaelewi
Kuweni na akili za kuchambua mpira sio kushabikia huku akili iko matakoni
Wewe ndo hujui hata offside ni nini kwa hiyo bora ukae kimya. Wenye akili timamu akiwemo refa mstaafu Gallagher wameiona offside sababu "mfungaji kafaidika" na kuwa kwake off side.Wewe nintakataka unajua offside kweli wewe
Unajua mashabiki wa man u ni vilaza ,unawazid marefaa na wameochezesha game nzima
Kwa akili zako lile goli ni offside ,yule beki wa astonvilla kaiua offside kwa kuucheza mpira ,kwanyanganywa offside ikawa kwisha
Nyumbu ni nyumbu tu hawaelewi
Kuweni na akili za kuchambua mpira sio kushabikia huku akili iko matakoni
Bruno Fernandes bado hajaonyesha dalili za kuchoka kimwili ila aina ya uchezaji wake ndio unawafanya mashabiki wawe na imani ya kwamba huenda jamaa ameshachoka na anahitaji mapumziko japo ya mechi mbili, binafsi naamini hata kama itatokezea bruno amepewa mapumziko ya mechi tano mfululizo bado nina imani atarudi na aina ile ile ya uchezaji wake tuliouzowea.
kwanza bruno amenyimwa skills na uimara ndio maana hana uwezo wa kukaa na mpira akiwa kwenye presha ya adui na utofauti wake dhidi ya KDB unaanzia hapo licha ya kwamba wote ni risk takers (KDB hana skills kama iniesta lakini bado ana uwezo wa kuddrible dhidi ya mchezaji mmoja hadi wawili akiwa kwenye presha kubwa).
Ukitaka kumdhibiti bruno apply pressing kwake kama walivyofanya arsenal, liverpool na manchester city. Ukitaka bruno akuadhibu ruhusu gape kati ya mstari wako wa ulinzi na kiungo na wakati huo huo umeruhusu space kubwa ya wachezaji wa timu pinzani (hapo utaombea rashford na martial wapoteze nafasi kisenge huku wakisingizia uimara wa kipa)
bruno ni mchezaji ambaye hathamini possession (careless in possession) ila kwa kuwa amejificha kwenye kivuli cha risk takers imefikia hatua hata benchi la ufundi linaimbishwa wimbo huu na tatizo hili nakumbuka lilizungumzwa hata na scouts wa timu kabla ya usajili wake kughairishwa kwenye dirisha kubwa la usajili uliopita (accuracy pass takwimu zake ni mwendo wa 75%). Muda wote anapokuwa na mpira yeye anawaza attempts ndio maana baadhi ya nyakati hufanya maamuzi yasiovumilika kwa jicho la kawaida (hili tatizo linatatulika kama atasimamiwa na makocha au timu zinazoamini possession mfano guardiola, fc barcelona na hata louis van gaal na man utd yake)
mfano baadhi ya nyakati anaweza kupiga through ball akiwa eneo letu akiamini mchezaji wetu anaweza kukimbia eneo husika, muda mwengine anaweza kupiga pasi eneo ambalo limetawaliwa na walinzi wa timu pinzani akiamini pasi hiyo inaweza kuvuka lines ya safu ya ulinzi, huku akisahau ya kwamba kumbe ana uwezo wa kupiga pasi ya kawaida kwa mchezaji mwenzake aliyekaribu na kuifanya timu imiliki mpira na hatimaye kutengeneza mikimbio ya hatari (lakini hii itategemea na aina ya wachezaji waliomzunguka, mfano hawa kina mc'tominay, henderson, fred, fernandinho si waumini wa progressive pass ndio maana huenda hawa KDB na bruno muda mwingi huwaza kupiga mpira mbele wakiamini wataweza kutengeneza nafasi kuliko square pass)
=======================
Wewe ndo hujui hata offside ni nini kwa hiyo bora ukae kimya. Wenye akili timamu akiwemo refa mstaafu Gallagher wameiona offside sababu "mfungaji kafaidika" na kuwa kwake off side.
Ngoja aje Chief-Mkwawa akupe muongozo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hata akifunga ni bure...mechi 9 unacheza dakika 90 zote unafunga goli moja !!!!
Yani huyo nmemshusha sn ila ni man mwenzangu naamua kupotezea tu.maneno mengiiii utumbo mtupu
utakuwa ni chadema wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
sidhani kama kuna timu imenyimwa penalty nyingi msimu huu kushinda utd, labda sababu siangalii mechi nyingi za epl, leo tu kama unaangalia mpira penalty ya wazi kabisa tumenyimwa ya fred.Marefa wanaharibu EPL ?????Hahahahahahahahah
Mnaongoza ligi kwa msaada wa Marefa na VAR ,wakipewa wengine kumbe inawauma.
Li uzi la kishamba sana hili...kumejaa wanywa banana hapa.Uzi wetu una mamluki wengi sana.
Usipowatambua ni km wenzako kumbe wapinzani.
Ila karibuni humu ndani ndio kuna madini yote ndiomaana hamuishi kuzungukia. GGMU
Hivi kuna timu inaweza kushindana na Chelsea kwa mchezaji mmoja mmoja? Nasema hivi hakuna ..Halafu mtu akiweka orodha ya timu za top 6 unakuta chelshit nayo ipo,huwa nashangaa sana.
Sisi tunafungwa tu kwa sababu Lampard ni takataka..ila tuna boonge la timu..Wewe jamaa mbona kama matokeo ya jana yamekuchanganya akili, naona kabisa una kila dalili za kufanya suicide
Kwani ninyi mutafika wapi?Yamepigwa tena yamepotea kwenye uzi [emoji3][emoji3][emoji3]
Cc @ollachuga ocView attachment 1682182
Yuko shimoni akitoka tutampa matokeoKitoabu uko wapi mkuu au huangalii game.