Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Zaidi ya Mara tatu anafanya hivi..
Tena ni nafasi za wazi kabisa,,,anatukosesha ushindi.

Hivi ole hamwelezi suala hilo la ubinafsi kweli?
Kocha kama morinho hakubali upuuzi huo.

Bench lingemuhusu..
 
nikiulizwa nani aondoke man u nitasema martial
nikiulizwa nani anzi bench man u nitasema rashford

pogba anakosa kitu kidogo sana anakosa mpishi
bruno akianza na pogba anapata tabu sana
 
Zaidi ya Mara tatu anafanya hivi..
Tena ni nafasi za wazi kabisa,,,anatukosesha ushindi.

Hivi ole hamwelezi suala hilo la ubinafsi kweli?
Kocha kama morinho hakubali upuuzi huo.

Bench lingemuhusu..
Martial anakuwa na ujinga mwingi ila hajamzidi Rashford..ingekuwa ni Anthony pale angepiga pass fasta tu kwa Cavani..

Ole asipokuwa mkali hawa watoto watamletea vikwazo sana..

Game ya Fulham aanzie bench..Greenwood acheze nafasi yake
 
Hakika kabisa,,martial ni mvivu,,lakini sio mchoyo,,na ndy maana ana assist nyingi kuliko rashford..

Martial yupo vzr kwenye pasi za mwisho.
 
Ingekuwa sawa na vipindi vingine ambavyo huwa mnafungwa.

Sisi Liverpool ambao hatufungiki Anfield ndo ingekuwa habari kama tungefungwa.
Vp Klopp halaumu referee tena? Anazungumziaje Thiago na Fabinho kufanya foul kama 5 hivi za kuzuia counter Attack bila kupewa card?
 
MECHI 5 ZIJAZO ZA MANCHESTER UNITED

1.Fulham (A)
2.Sheffield Utd (H)
3. Arsenal (A)
4. Southmpton (H)
5. Everton (H)

MECHI 5 ZIJAZO ZA MANCHESTER CITY
1. AstonVilla (H)
2. Westbrom (A)
3. Sheffield Utd (H)
4. Burnley (A)
5. Liverpool (A)

MECHI 5 ZIJAZO ZA LIVERPOOL
1. Burnley (H)
2. Tottenham (A)
3. Westham (A)
4. Brighton (H)
5. Manchester City (H)

MECHI 5 ZIJAZO ZA CHELSEA
1. Leicester (A)
2. Wolves (H)
3. Tottenham (A)
4. Sheffield (A)
5. Newcastle (H)

NB: Bado naiona Mancheter United itakua inaongoza Ligi hadi Feb 15
 
Vp Klopp halaumu referee tena? Anazungumziaje Thiago na Fabinho kufanya foul kama 5 hivi za kuzuia counter Attack bila kupewa card?

Washabiki na makocha wote ni wanafiki inapokuja kwenye kuzungumzia favor timu inazopata.

Akifanyiwa faulo wa upande wetu tunaona ila akifanyiwa adui hatuoni.

Ndiyo maana kocha anaweza kukwambia sijaona au siingilii kazi ya referee pale inapokuwa favor imemwangukia.
 
Huyu sijui alipataje jezi namba 10 hata mech ya wolves ilikuwa hivi hivi tushukuru mpira ulimgonga bek wa wolves ukaingia nyavuni bila hivyo ilikuwa pacha jana karudia ujinga ule ule na cavan akiwa sehem ile ile kuna muda madrid na chelsea wanavifanyia vyema hiv vi toto vinavyotoka kwenye academy uzia mbali huko
 
Martial anakuwa na ujinga mwingi ila hajamzidi Rashford..ingekuwa ni Anthony pale angepiga pass fasta tu kwa Cavani..

Ole asipokuwa mkali hawa watoto watamletea vikwazo sana..

Game ya Fulham aanzie bench..Greenwood acheze nafasi yake

Greenwood rashford na martial tofauti yao wamepishana majina na namba za jezi mgongoni ila hamna hata mmoja wakukupa matumaini jez zao sasa mgongoni 9,10 na 11
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…