Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hawawezi kuwaabingwa Hawa. Believe it or not. Njoo hapa mwezi March utaona wako nje ya Top 4..... Hawana timu ya kubeba ubingwa.

#COYG
#COYG
Naona Man city na Leicester wanawasogelea ..kwa hesabu zangu za chapchap bingwa naona atakuwa kati ya hizi timu mbili.. city au Leicester, ila manure bado ni title contender

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Hawa wanapanda na kushuka ..epl bado ngumu sana ,zingekuwa zimebaki mechi nne hapo sawa..

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Wakuu Rashford mchoyo sana wa pasi, kuna counter moja ilikua ampasie pasi Cavan ashinde yeye akang'ang'ania kutaka kupiga yeye, hivi Rooney angekua na akiri finyi kama za Rashford tungetwaa mataji kweli, anashindwa jifunza hata kwa Grealish

OGS atuletee Grealish acheze nafasi ya Rashford
 
Mmekuja Anfield kutafuta sare na mmeipata!
Hongereni sana ingawa najua kila mtu sasa hapa anayaogopa majogoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…