Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kocha kila tukikutana na team kubwa strategy ya kwanza ni defense...

Hivi huyu kocha anataka ubingwa kweli

Au ndio kila team kubwa imetuzidi quality ya wachezaji
 
Kocha kila tukikutana na team kubwa strategy ya kwanza ni defense...

Hivi huyu kocha anataka ubingwa kweli

Au ndio kila team kubwa imetuzidi quality ya wachezaji
Anajitahidi kutafuta ushindi mwororo one nil
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…