Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Endeleeni kulialia tu sijui Bally sijui Cavani sijui nini Tunapiga yeyote yule Anfield hata wangecheza Hamna timu ya kuchukua point 3 ANFIELD.
 
NAONA KAKUANGUSHA HAPO KWA BAILY NA CAVANI
 

GGMU
GGTZ★
 
Martial ni muhimu kuwepo shida ni bailly
Martial leo anacheka na nyavu wakati wake umefika. Cavani ni vizuri aanzie benchi awakute Liverpool ulimi nje khalafu awatoe kamasi. Leo tutashinda panga pangua Liverpool kiwango chini sana siyo kama musimu uliopita
 
Endeleeni kulialia tu sijui Bally sijui Cavani sijui nini Tunapiga yeyote yule Anfield hata wangecheza Hamna timu ya kuchukua point 3 ANFIELD.
sijaona kikosi cha kuifunga man u leo, yani kwa centre-backs za Hendo na Fabinho ndio mumzuie rashford martial na cavan (akiingia) wewe jiandae kumtukana klopp badae
 
★Hichi kijamaa basi tu sijui kinajionaga chenyewe ki nani yani aghh★
Cavan na bailly mech yao hii maguire na lindelof watalala na viatu leo sijui huyu kocha huwa anafikiria nn au na yy ni mbaguzi?
 
Martial ni muhimu kuwepo shida ni bailly
Kama umemuangalia vizuri Cavani haruhusu ule ujinga wa kipa kuwaanzishia mabeki, anazunguka pale kwenye 18 kwa spidi kubwa hawawezi kuanzishia mipira pale ovyo ovyo. Martial ni mvivu hawezi kudhibiti mabeki na kipa wanaanzishia mipira nyuma ambayo ni hatari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…