Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nice
 
Kwa huu upuuzi kwa kubadili kikosi kila uchwao tunapigwa labda itokee miujiza moja ya sababu zinazomfanya kocha wetu kuyumba hana kikosi kamili lindelof anarudi kikosini kamuacha bailly
 
Wakuu nmeona line up !? .
Ole anazngua, anyway nlipenda cavan aanze, pia Eric bailly ;!!

Anampenda Sana martial,,,,!!! .

#GGMU
 
TEAM NEWS

De Gea

AWB Lindelof Maguire Shaw
McTominay Fred
Rashford Fernandes Pogba
Martial

Ole amekitosa kitasa bailly..anyway,Lindelof inabidi amuokoe na matusi baada ya game hii kwa kuweka perfomance ya hatari sana.
 
Kwa huu upuuzi kwa kubadili kikosi kila uchwao tunapigwa labda itokee miujiza moja ya sababu zinazomfanya kocha wetu kuyumba hana kikosi kamili lindelof anarudi kikosini kamuacha bailly
Hamuamini Bailly kwenye big match au!? Mechi na Man City alimuweka bench pia.
 
Wakuu nmeona line up !? .
Ole anazngua, anyway nlipenda cavan aanze, pia Eric bailly ;!!

Anampenda Sana martial,,,,!!! .

#GGMU

Cavan na bailly mech yao hii maguire na lindelof watalala na viatu leo sijui huyu kocha huwa anafikiria nn au na yy ni mbaguzi?
 
Cavan na bailly mech yao hii maguire na lindelof watalala na viatu leo sijui huyu kocha huwa anafikiria nn au na yy ni mbaguzi?
Lindelof na Maguire hawawezi kucontrol pressure hata kidogo..tusishangae tukifungwa vigoli vya kishamba shamba leo..

Tuna CB gani wa kumweka nje Bailly?
 
Kwa huu upuuzi kwa kubadili kikosi kila uchwao tunapigwa labda itokee miujiza moja ya sababu zinazomfanya kocha wetu kuyumba hana kikosi kamili lindelof anarudi kikosini kamuacha bailly
Kuna mtu alisema utakuja kushangaa Lindelof anaanza match hii.
 
*** ole lindelof wa nini kama si kutaka kutupotezea.

Tukipoteza kocha ana lawama
 
MARTIAL NI MUHIMU.... PTUUUUUUU
 
Ole Kama anabahatisha kikosi !
Ukweli usiopingika Ni kuwa Eric bailly akiwa fit, Hatuna mchezAji wa kumweka bench!!!!

Victor Ni uchochoro !!!

Nb; first half ikimkataa martial amtoe haraka Sana aingie mtu mzima Edinson
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…