Sasa kama uwa uangalii mechi zote za United, usiwe unatoa matamshi kama uliyotoa...
Game nyingine, tulifungwa 3-2 na Blackburn Rovers waliokuwa wanashuka daraja...ni games nyingi tu...
So there isn't a need to make a fuss out of the loss. That's the beauty of football in England.
Moyes afukuzwe haraka. Haya mambo ya kufungwa waachiwe Arsenal na wenzao.
Ni wa kuwashangaa na kuwaambia ukweli watu kama hao.
Timu inaweza kucheza vizuri na kufungwa 3-2 au kufungwa 2-1 kwa kucheza vibaya.
Hata hivyo, hatuwezi kuchukuwa matokeo mabaya ya nyuma kuhalalisha matokeo mbaya ya leo.
Man Utd walicheza vibaya sana leo. Siyo kawaida yao hasa wakiwa nyumbani.
Chifu unapenda ligi za ajabu!!
Wewe ulisema hivi: " Sijawahi kuona man utd wanacheza vibaya vile at old trafford."
Mimi nikakwambia imeshatokea mara nyingi tu kwa United kucheza vibaya pale OT. Nikimaanisha hakuna msingi wa kudramatise loss ya leo dhidi ya WBA.
Hakuna aliyekataa kwamba United ilicheza vibaya leo; lakini what's fuss?!?
Oh! Sorry! I am forgetting, it is Manchester United, the biggest club in UK; and one of the biggest in the world! So, there should be a fuss from fans of wee clubs.
Perhaps, wengine tunapenda kuiona Man Utd ikishinda au ikicheza vizuri in every game taking into account that they are the biggest club not only in the UK but also in the world.
I really hope Man Utd won't be like Liverpool, though kwa hivi vipigo kwa jiji la Machester kunafanya ligi inoge zaidi.
Ila mie napenda huingii mitini kama mashabiki wengine wa Man Utd pale mnapofungwa. Mashabiki wengi wa Man Utd wakifungwa hata hawapatikina kwenye simu.
Looks like yeye mwenyewe hajiamini
Kweli. Ni mwanzo mgumu; kocha mpya; washabiki waliozea mambo matamu tu! Yote hayo ni yanapima loyalty ya mshabiki kwa timu.
Ndiyo maana pale jukwaa la East End, washabiki walikuwa wakimwambia Moyes ajiuzulu; wao wameshazoea utamu tu! Hawajui uchungu!
Lakini kama mshabiki wa kweli, inabidi uwe na timu yako, kwenye raha, furaha, shida na tabu! Hivyo ndivyo nilivyo.
Nafikiri wabongo wengi wamekuwa mashabiki wa Utd baada ya Utd kuwa kwenye chat.
They are not used to losing tena kwa timu kama West Brom. They will just disappear.
Ndo maana Bongo kuna mashabiki wachache wa Liverpool kwa sababu haijafanya vizuri kwa miaka mingi. Wengi utakaokutana nao ni wale wa zamani.
Rival ya Man Utd na Arsenal imekuwepo kwa sababu ya Fergie na Wenger na kucheza mara kwa mara kama ilivyokuwa kwa Liverpool na Chelsea kwa sababu ya Mourinho na Rafa.
Halafu inadaiwa eti Man City wana mashabiki wengi Manchester kuliko Man Utd?
Kwa kuwa ni fikra tu, basi ni sawa. Lakini tukijadili kwa mapana zaidi, yanaweza kuwa mambo mengi.
Kwa mfano,mtu aliyeanza shabikia United miaka ya 1990 mwanzoni, wakati ambao alikuwa kapata akili ya kuelewa mambo ya ushabiki. Huyu utasema amekuwa shabiki kwa sababu ya United ipo kwenye chati?
Mjadala wako utapendeza pengine ukiweka na umri wa hao washabiki unaowaongelea! Kwa maana kuna wengi tu wamezaliwa kipindi United ipo katika chati.
Liverpool, kwa bongo mashabiki wake ni waarabu!
Kweli. Ila kwa upande wa United vs. Arsenal, uadui umezidi baada ya kuwapiga goli 6-1 pale OT (nafikiri msimu wa 2000/01 ama 2001/02); kuwavunjia rekodi yao ya kushinda mechi nyingi, walikuwa wamecheza mechi 49 mfululizo bila kufungwa na wangetufunga ama kutoka sare ingekuwa mechi 50! Lakini tukawapiga 2-0 kama sijasahau. Sababu ya tatu ni wao kucheza misimu 8 bila kombe lolote, huku United tukifurahia vikombe kipindi hicho! Sababu ya nne ni Keane vs. Vieira, hawa walivyokuwa wakifanyiana ubabe pale kati, ilipelekea hadi washabiki wa timu kuwa maadui! N.k.
Hata mimi usikia hivyo.
Kwa nini unasema Bongo mashabiki wengi wa Liverpool ni waarabu?
Katika mashabiki wa Liverpool ninaowafahamu, waarabu ndiyo wengi; waarabu pure na waarabu chotara. Pia hata nikienda kuangalia mpira kwenye pubs na joints mbalimbali za kuangalia michezo, waarabu ndiyo uwa nawaona kushabikia Liverpool.
Huu ni mtazamo wangu tu. Wala haimaanishi kwamba ni sahihi kusema waarabu ndiyo washabiki wengi wa Liverpool hapa bongo.
Perhaps, wengine tunapenda kuiona Man Utd ikishinda au ikicheza vizuri in every game taking into account that they are the biggest club not only in the UK but also in the world.
I really hope Man Utd won't be like Liverpool, though kwa hivi vipigo kwa jiji la Machester kunafanya ligi inoge zaidi.
Ila mie napenda huingii mitini kama mashabiki wengine wa Man Utd pale mnapofungwa. Mashabiki wengi wa Man Utd wakifungwa hata hawapatikina kwenye simu.
Thanks kwa insight yako hiyo mkuu.
Mimi ni shabiki wa Liverpool for so many years since mid 80s...nimeshindwa kabisa kuiacha timu yangu pamoja na vipindi vya mpito vyote timu ilivyopitia. Likewise nimeona una hiyo "mentality" kwa kuwa mvumilivu for better for worse...what I can tell you ni kuwa ManUtd will suffer ugonjwa unaoitwa "the Furggie factor" sana katika hii misimu miwili mitatu wakati Moyes ana-establish mambo yake pale OT.
Since wewe ni mshabiki wa ukweli wa ManUtd utakubaliana nami kuwa "babu" alikuwa na kitu cha "ziada" pale OT...tactically,technically,na hata psychologically. Moyes bado ila with time anaweza kuweza.
As for this season ni vizuri focus iwe kwenye top 4 zaidi kuliko kufocus zaidi kuwa tittle contenders...kama ikitokea iwe bonus tu.