Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Arteta dah! Jamaa atatumia muda kujenga kikosi ila kuna hatari akaja kuwa na timu hatari sana. Nikiwaza ndani ya miaka 3 naona kabisa watasumbua.
sera yao ya uwekezeji ndio itakayomuangusha pale arsenal, kwa sasa bado hawana mvuto utakaowafanya wasajili wachezaji wa kundi A na vile vile hawana fedha itakayofanya waitumie kama ni chambo ni cha kuteka wachezaji wakubwa pamoja na mawakala mfano wa raiola.

wakiwa wanasubiria miaka mengine mitatu huku upande wa pili josep guardiola ameshaachana na ferran torres au ameshamtengeneza ferran torres kuwa class A.

sera ya kukuza vipaji inahitaji ligi yenye ushindani mfano wa bundesliga na si premier league
tunaishi katika dunia tunayopata kushuhudia usajili wa mchezaji wa kikosi cha kwanza cha barcelona na ureno akisajiliwa na wolverhampton.
 

Hiyo ndo changamoto kubwa aliyonayo, maana anaweza kuona mahitaji na akashindwa kuijaza nafasi kwa kutopewa hela ya kumnunua mtu sahihi kulingana na hitaji.

Premier League kuna mpunga mrefu, ule mkataba wao wa broadcasting ni mrefi sana, hivyo timu nyingi zinafanya manunuzi ya kueleweka.

Muda wa kusubiri vijana wakomae hakuna, bado nina imani Arteta anaweza kuunga unga akapata timu nzuri, though siyo ya kuchukua ligi.
 
Nikiangalia kwa undani zaidi ,uwezo,technque na tactic za wachezaji wa man utd

Harafu wakutane na damu zinazowaka moto wa anfield ,mane ,salah ,
Gin,henderson,keita

Aisee ,fab ,anord,matip ,mbaya zaidi wamepoteza game iliyopita sijaona man utd ataponea wapi hshaaaaa

Aisee hao vijana wakiwasha moto, utd mtatamani mpira uishe ,na hakutakuwa na pa kutokea zaidi ya kula goli 5+

Utd wenyew wanajua kabisa hatuponi pale anfield




City pekee ndio inauwezo wa kumpiga liverpool anfield ,waletee
 
Hebu tupe timu yenye best squad in Europe in terms of depth and quality ?
 
Mkuu tuliza mapepe!!

Mpira unachezwa uwanjani na sio kwenye buttons za ka tecno kako!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…