Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tunahitaji kiungo wa kudrive timu mbele,kucreate na mwenye spidi pia hapo katikati..Nimemcheki VdB naona kwa timu yetu hatakuwa na mchango mkubwa..mimi nilichokuwa natarajia kutoka kwake ni kuwa hata kama Pogba na Fernandes hawapo kwenye timu yeye aweze kufanya kazi wanayofanya hata kwa asilimia fulani,kitu ambacho hajaweza kufanya..

Kumpa muda ni jambo jema,lakini analysis inabidi ifanyike mapema kama anaweza kwenda sehemu nyingine ambapo ataweza kushine why not?
VDB anauwezo mkubwa sana wa kutoa pass pia anajua kujiposition.
Kwasasa ni ngumu kuona vyote hivi kwakua hapati muda wa kutosha.
Form aliyonayo Pogba kwasasa ni pressure kutoka kwa VDB.
 
★Dimitar Berbatov: "Like Jose Mourinho said: ‘You need to be b*stards to win trophies’. I don't see enough of that from United." [Betfair]

Pogba, Fernandes and Maguire aren't as scary as Keane, Cantona and Rooney

#GGMU

manutd |
IMG_20210110_143254_102.jpeg
 
★Donny van de Beek’s game by numbers vs. Watford:


100% long pass accuracy
95% pass accuracy
89 total touches
3/3 tackles won
2 chances created
1 big chance created
1 foul won★

#GGMU

manutd |
IMG_20210110_143024_198.jpeg
 
★Solskjaer says Paul Pogba, Luke Shaw and Victor Lindelof are all injured.★

#GGMU

manutd |
 
MZURI SANA HUYU MTOTO, SHIDA IKO KWA DE BEEK, MPIRA WA UINGEREZA MGUMU KWAKE BADO.
Hili ni tatizo linalowasumbua mpaka wachezaji wa chelsea. Why? Because tofauti na matarajio yao. Epl imeuuwa ngumu. Epl is too physical..
Itachukua muda but wata adopt.
 
Back
Top Bottom