......hahahaha....majangaaaa!
Sir Alex wanted to make sure his legacy lives on kwa kumpendekeza 5th spot manager.... What a selfish man!
Moyes kaleta uchuro mtaani, bundi mjengoni....minong'ono imeshaanza atimuliwe kabla hali haijawa mbaya zaidi......Je, SAF atarudi ulingoni japo kwa msimu huu kuja kuokoa jahazi lililoanza kuvuja mapema kiasi hiki!? Tutege masikio ili kusikia yatakayojiri katika siku za usoni.
Manchester United are 11th in the Premier League table after their first six games, with seven points.
Moyes atatupa presha.
Manchester United haipo hivyo...boardroom wana imani kubwa sana na David...na kama boardroom wana imani na kocha, hakuna kitachomtoa hapo...refer to Wenger's run without a single cup!
Manchester United haipo hivyo...boardroom wana imani kubwa sana na David...na kama boardroom wana imani na kocha, hakuna kitachomtoa hapo...refer to Wenger's run without a single cup!
Utusomee na msimamo mwisho wa msimu
hehehehe....board room si wenye timu banaaaa...muulize Wenger wapenzi na washabiki walivyoamua kumjia juu ilibidi achakarike mwenyewe na ndio sababu ya Ozil kipenzi chako kutua pale mjengoni. Ngoja tusubiri kama Moyes hajawashiwa moto mkali hivi karibu kwa kuleta uchuro mtaani na boardroom itakuwa haina jinsi ni lazima itacheza ngoma ya wapenzi na washabiki.
Salama si salama...
Lakini mashabiki walikuwa wanapiga kelele "change, change change, time for change".
Sijawahi kuona man utd wanacheza vibaya vile at old trafford.
hehehehe....board room si wenye timu banaaaa...muulize Wenger wapenzi na washabiki walivyoamua kumjia juu ilibidi achakarike mwenyewe na ndio sababu ya Ozil kipenzi chako kutua pale mjengoni. Ngoja tusubiri kama Moyes hajawashiwa moto mkali hivi karibu kwa kuleta uchuro mtaani na boardroom itakuwa haina jinsi ni lazima itacheza ngoma ya wapenzi na washabiki.
umenikumbusha enzi zile Jongo aliposema wao ... na sisi .... kama unakumbukumbu jaribu kukumbuka ilikuwa mechi kati ya nani hiyo?
Mashabiki siyo waamuzi chifu...ingekuwa hivyo Arsene Wenger hasingekuwa kocha wa Arsenal leo..
Uwe unasoma na kuelewa...boardroom ndio mwamuzi wa mwisho..