Mourinho
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 4,619
- 2,328
Kule nako Aston Villa 2-2 Man City.
Villa 3-2 City
Kule nako Aston Villa 2-2 Man City.
Mercenaries invading in numbers....don't run away...stay until the end...
Kiungo aliyekuwa anapeleka mipira mbele ni Kagawa, kocha kamtoa.
Wacha kelele wewe angalia mashoga wanavyoshogishwa khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Villa 3-2 City
Sijui kwa nini Moyes kamtoa Kagawa.
Kiungo aliyekuwa anapeleka mipira mbele ni Kagawa, kocha kamtoa.
Siku ya kufa Nyani....22 minutes to go.... Where is SAF when you need him!?
Kocha wenu anawaza match ya jumatano, hawa WBA ni rasharasha tu, mvua yenyewe itawanyea kwa Shakhtar Donetsk
Anagawa sana....dakika ya 80 nanihii 1 na wao 2