Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyu mwl mbwa sana huyu sijui kile ki Martial anakipendea nini aisee,
 
Huyu mwl mbwa sana huyu sijui kile ki Martial anakipendea nini aisee,
Hatuna mchezaji wa kumuweka benchi Matial.
Kweli kwa msimu huu kapungua ubora, lakini sio mchezaji wa kuanzia benchi.
 
Mfano kweli mkamsajili Grealish kama mnavyotaka halafu atacheza wapi?

Kuna wachezaji wako vizuri wakiwa timu A as huko wanakuwa treated as gods. Kila anayepata mpira anampa yeye, yeye anaamua uende wapi. Na nyinyi mtu huyo mnaye tayari, Fernandes, na wanacheza namba moja.

Ikatokea Grealish kaja maana yake aanze kupambania namba na Fernandes. Jambo gumu ukizingatia huko alipotoka yeye ndiye mungu wao, na hata akipambania am sure atashindwa as Fernandes ana stats nzuri kumzidi.

So sioni huu uhamisho ukiwezekana. Labda kama atakuja kwa kuhitaji pension ya kuzeekea. Ni kama Song alivyoenda Barcelona kugombea namba na Busquets, au Donnarumma anavyohusishwa na chelsea.
 
Hii tournament mkisuluhu ndiyo mnarudiana ukipigwa mambo yanaishia hapo.

No, FA ndo ilikuwa mkisuluhu mnarudiana, ila nayo wameiondoa msimu huu.

Hii haikuwa na kurudiana isipokuwa nusu fainali ndo ilikuwa na home and away, game zingine zote ilikuwa ni game 1 tu.

Mfano last season Man Utd vs City - Semi ilikuwa Man Utd 1 - Man City 3 (OT), then wakarudiana Man City 0 - Man Utd 1 (Etihad).
 
Aje tu ili Bruno wkt mwingine awe anapumzika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…