Tatizo unafanya sana spinning.View attachment 1669247
Hio ratings ya BBC.
For the sake of discussion tu assume sofascore wapo sahihi kama ulivyoweka.
Ratings ya 6.6 sio mbaya by any means na haireflect maneno yako kuwa hakucheza vizuri kama wingback
Na sofascore kama who scored wana rate stats na sio uchezaji, tofauti na BBC ambao ratings zinatokana na review za wataalamu.
Mkuu hapo unachoma mafuta tu bure jamaa anataka ligi tu nimesoma convo from mlipoanzia nimegundua jamaa hana hoja ya msingi isipokuwa anataka kutafuta ubishani usiokuwa na afyaView attachment 1669247
Hio ratings ya BBC.
For the sake of discussion tu assume sofascore wapo sahihi kama ulivyoweka.
Ratings ya 6.6 sio mbaya by any means na haireflect maneno yako kuwa hakucheza vizuri kama wingback
Na sofascore kama who scored wana rate stats na sio uchezaji, tofauti na BBC ambao ratings zinatokana na review za wataalamu.
Kuweka kumbukumbu sawa,unbeaten ya arsenal ilisimamishwa na manchester unitedHahaha, mipango siyo matumizi.
Kati ya vitu sitaki kuona ni run ya Anfield kuvunjwa na nyie, sijui itakuwaje aisee.
Unaikana comment yako mwenyewe?Tatizo unafanya sana spinning.
Hamna sehemu nimesema telles mbaya.
Niliongelea wachezaji kusajiliwa na kutocheza ukaulizia performance, gave u stats, sasa hivi unasema mimi nimesema telles mbaya.
Ya psg piaKuweka kumbukumbu sawa,unbeaten ya arsenal ilisimamishwa na manchester united
Na hata ile run ya chelsea games 38 ilivunjwa na vijana wa fergie
Tunauzoefu na haya mambo Don
Duh sa mbona unasema nimesema telles mbaya?Unaikana comment yako mwenyewe?
View attachment 1669308
Toka mwanzo unajenga Hoja Telles hajacheza vizuri kama wing back (ama wingman ulivyokuwa unamuita wewe) na ukaweka stats zako, sasa hivi Unaikana tena?
tena double standard unang'ata na kupuliza.Duh sa mbona unasema nimesema telles mbaya?
Mbaya ni kila mechi atakuangusha ni tofauti na kusema performance haikua nzuri.
Mchezaji mwenye mchango kwenye mechi hutolewa dk ya 67?
Sasa braza hata picha uoni Klopp game 199 penati 30, Olesendeka game 75 penati 27
Kuweka kumbukumbu sawa,unbeaten ya arsenal ilisimamishwa na manchester united
Na hata ile run ya chelsea games 38 ilivunjwa na vijana wa fergie
Tunauzoefu na haya mambo Don
Yani sasa hivi ndo dawa inawaingia maneno ya kubebwa yanakuja sababu team inakaribia kufika at the top wakati wa Moyes haya maneno hatukuyasikia tena natamani game ya Anfield tupate penati tuwafunge kwa kuwakera itapendeza sana Klopp aendelee kulia vizuriSasa braza hata picha uoni Klopp game 199 penati 30, Olesendeka game 75 penati 27
Sasa hivi nimerudi kwenye theme ya mpira ni dakika 90.
stats za miaka 5 iliopita hapo
liverpool 28
Man utd 39
man u ana pen nyingi ila Klop ameongeza chumvi,
na ukiangalia hapo Var imetusaidia sana, kipindi cha moyes hadi mou tulinyimwa sana penalty,
even sasa hivi bado tunanyimwa penalty za kutosha tu, timu yetu ipo direct sana na tuna watu wana speed sana, ni rahisi kwa mtu kama rashford ama martial kutengeneza penalty.
Unabadilisha mbinu ukiona iliyopo haikupi matundatena double standard unang'ata na kupuliza.
ametolewa akaingia pogba change of tactics, badala ya kucheza wingbacks tukarudi na beki wa 4 kawaida.
vipi kuhusu Anfield bado hatoki mtu na beki zako zile
Sent from my SM-J400F using JamiiForums mobile app
Sawa mkuu naomba beki ziwe zilezile za jana na Soton Henderson na Fabinho itakuwa safi sanaAnfield hatuwezi kukaa muda wote bila kufungwa, ila mpaka sasa hatujafungwa kwa kumbukumbu zangu. Unless una taarifa tofauti.
Sawa mkuu naomba beki ziwe zilezile za jana na Soton Henderson na Fabinho itakuwa safi sana
Sent from my SM-J400F using JamiiForums mobile app
Ndio hio miaka 5 mkuu alioitaja Klop?Vipi ukianzia kipindi alichoingia Klopp?
Ndio hio miaka 5 mkuu alioitaja Klop?