Hamkucheza 4 2 3 1 na hiko ndiyo kilisababisha niandike nilichoandika. Mlicheza 3 4 1 2, ingekua 4 2 3 1 siku ile telles angekua LMF na siyo wingback.Tulicheza 4-2-3-1 wing back anatokea wapi na tuna mawinga?
Chelsea hiyo mkuu ilikuwa bora sana haikuwa na kocha tuKwamba Chelsea 2007/2008 ni bora kuliko Man U 2007/2008?
Hizi ni dalili mbaya kwa kocha"I hear now that Manchester United had more penalties in two years than I had in five and a half years. I've no idea if that's my fault, or how that can happen." Liverpool Manager
Naona Klop tabasamu linamuishia, anahisi pressure. Asubiri January 17.
Klop ameanza kulialia...tukimfunga tarehe 17 atachanganyikiwa kabisa"I hear now that Manchester United had more penalties in two years than I had in five and a half years. I've no idea if that's my fault, or how that can happen." Liverpool Manager
Naona Klop tabasamu linamuishia, anahisi pressure. Asubiri January 17.
Hiyo workrate imepimwa na chombo gani?..Mnafungwa 3 na psg telles workrate yake ilikua ni 6.4 wakati fred aliyetoka kwa red ilikua 6.0 hii workrate yake ilikua sawa na de gea lakini ni ndogo kuliko wachezaji wote wa ndani.
Katika ile game telles alifanya clearance moja tu.
Tackles 2.
Dribbled past 2.
Katika ground duels 7 alishinda 3.
Alifanya aerial duel 1 tu.
Alipoteza possession mara 17.
Alifanya faulo 2.
Alipiga krosi 8 ila 2 pekee zilienda golini.
Au siyo game hii?
Hapa nilichogundua ubingwa upo wazi kwa timu zote 11 arsenal kazidiwa point 10 tu na kiongozi wa ligi akikaza na haya matokeo yake anayopata anaweza kufanya jambo ila hatakiw kupoteza mchezo kuanzia sasa nakumbuka last season manchester united alizidiwa na chelsea point 18 kuingia top 4 alizikata had chelsea alikamatwa
Mimi nairate man U ya 2007/2008 kama bora zaidi kwenye timu yetu, bora kuliko 1999,
Siwezi kuzunguka kwenye majukwaa ya midtable teams mkuu.Kila kitu na uzi wake.
Mpaka uzi wa spurs hua naandika.
Bahati mbaya unajifungia humu tu
Inategemea.Hiyo workrate imepimwa na chombo gani?..
Hapo sasa siyo kosa languSiwezi kuzunguka kwenye majukwaa ya midtable teams mkuu.
Ratings za BBC zinakinzana na zakoHamkucheza 4 2 3 1 na hiko ndiyo kilisababisha niandike nilichoandika. Mlicheza 3 4 1 2, ingekua 4 2 3 1 siku ile telles angekua LMF na siyo wingback.
Anyway down with performance breakdown.
Game mnashinda 2 kwa 1 telles alikua na workrate ya 6.6 ndogo kuliko mchezaji yeyote wa man u.
Aligusa mpira mara 39.
Alipiga krosi 8 ila 3 pekee zilifika golini.
Hakupiga shuti lolote golini.
Katika ground duels 8 alishinda 2.
Hakufanya aerial duel yeyote.
Alipoteza mpira mara 15.
Alifanya faulo 2.
Hakufanya clearance yeyote.
Dribbled past 1.
Alitolewa dakika ya 67.
Sijatoa kichwani nilichoandika
Mkuu, huyu City ana viporo vigumu vitupu.Inabidi sasa tuonyeshe umwamba.
Piga Burney..Piga Liverpool.. tunawapita kwa 6points ..Mziki unabaki City
Unajua maana ya Key pass? Ni pasi ambayo inaweza kuwa assist, so far Epl ni wachezaji watatu tu wenye average 3 key pass kwa match, Bruno, DE Bruyne na Grealish.Sijatoa kichwani nilichoandika
View attachment 1668691
View attachment 1668692
View attachment 1668693
Tushindwe sisi tu.
Jamaa kaanza kuchanganyikiwa kidogo kidogo!"I hear now that Manchester United had more penalties in two years than I had in five and a half years. I've no idea if that's my fault, or how that can happen." Liverpool Manager
Naona Klop tabasamu linamuishia, anahisi pressure. Asubiri January 17.
Hii team kama jahazi modern taarabu