Mashabiki aina yako huwa siwaelewi kabisa, sijui ni utoto.
- Arteta atamwadhibu kwa mara ya 3 Ole gunnar
- Liverpool watatudhalilisha kimpira
Mashabiki aina yako huwa siwaelewi kabisa, sijui ni utoto.
Kipi kinakupa uhakika wa kufungwa na Arsenal?
Hao Liverpool walisha kudhalilisha lini kimpira?
Hivi kunaulazima gani kuipenda Manchester United?
Watoto wa dogo munazingua kinoma.
Ungekua karibu ningekupa mbata hilo, mpaka wazazi wako wangenisusia nikulee.
Man Utd kumfunga Liverpool ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
Na ndio utakuwa mwisho wa kupiga domo humu
Mwisho wenu ni tarehe 17 mwezi huu
Anfield inaenda kuwazima
Sawa gigy money [emoji23][emoji23][emoji23]Man Utd kumfunga Liverpool ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
Na ndio utakuwa mwisho wa kupiga domo humu
Mwisho wenu ni tarehe 17 mwezi huu
Anfield inaenda kuwazima
Tuko Pamoja Amber rutty,[emoji3][emoji3]
Carabao hatukamiiBaada ya kuvunja vunja lile daraja la pale london
Kituo kinachofuata ni OT
Nyie nyumbu mtaeleza ile sare 0-0 mliitoa wapi