Caicedo amecheza hadi timu ya taifa ya Equador..na amecheza na vigogo kama Columbia,Uruguay n.kcion kama man u itafanya usajil mkubwa sana ndan ya jan hii zaid ya yule dogo wa America Caicedo waje kuungana na facundo pellistri na A.Diallo wa atlanta wakacheze Man u-23 wapate uzoefu wa ligi ya Uingereza
Hivi Amad Traore kwa kuguess tu next season atakuwa wapi?..First team akipigania namba au bado atakuwa huko PL U-23?Caicedo kama anakuja ni straight kikosi cha kwanza, ni mzoefu tofauti na hao wawili umri wake usikudanganye.
Qualifier amekiwasha sana na Ameshadominate midfield za kina Rodriguez, bantacur, velverde etc.
Na jamaa ni Dm, kwa kikosi chetu tunamuhitaji sana.
Diallo wametaka kumchukua kwa mkopo Atlanta ila Ole amekataa Hivyo at least atatrain na timu ya wa kubwa.
Tetesi ni huyo Moises Caicedo.
Kama dogo atakuwa na Attitude nzuri namba anaichukua kule kulia, Atlanta japo kacheza kidogo ila most of time alikuwa bench ina maana ana train na watu wazima tayari.Hivi Amad Traore kwa kuguess tu next season atakuwa wapi?..First team akipigania namba au bado atakuwa huko PL U-23?
Leo mmnapanliwa iingie vizuri [emoji23][emoji23]Kila nikiangalia namna gani Man Utd anaweza kuchikua ubingwa
Ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
Sioni kabisa
Yaaani daa
Aibu naona mimi
Nasema uongo ndugu zangu
Vp January hii Kuna mpango wa kusajiri kweli?
Mkuu city wanabomoa daraja hukoCity wakicheza na sisi namna walivyocheza hizi dk 10 za mwanzo na Chelsea..... Waandae kapu!
Huyo painkiller yuko wapi? Aje atetee timu yake.Leo mmnapanliwa iingie vizuri [emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kwa sasa aliyebaki na ujasiri wa kuongea kidhungu kwenye uzi wenu ni captain marvelous tu baada ya kugundua form yenu ya msimu jana sio kitu cha kudumu. Mliaminishwa na Klopp kuwa mnachukua mitano tena lakini sasa hivi westbrom peke yake anawatoa jasho anfield.
We are back where we belong.