dah kuna muda tunamuonea sana Ole kwa kuamini kila sub anakosea japo kuna wakati huwa anakosea kweli,muda ambao alimuingiza James ilikua tayari tunaongoza kwhy aliamua kulinda goli lkn pia kwa kuweka mtego wa kupata goli lingine na sio kupaki bus kama anavyofanyaga Mou.Duh! jasho limetutoka kwa ushindi huu anae jua OGS ile sub ya Bruno na kumuacha ndani Fred na mac wakirandaranda mule ndani naomba anieleze kitaalam
Wewe ni skuna.Chomoa usepe[emoji2957]
FT. WST 0. Vs. ARSENAL 4
Wakipata hiyo crisis mnaenda academy, ipo hivyo. Hauweze kuwa na wachezaji wengi high class kama kinga ya majeraha, ni costmkuu hata majeruhi pia yanatugharimu sana,,
Hivi mfano rashford,, Cavan ,,martial,Fred,, fernandez wawe wajeruhi,,
Timu itakuwa sawa?
Ndy maana nikasema tuombe timu isipate majeruhi,,
Wachezaji wawe fit wote first 11.
Fred toka mwanzo alionekana kupwaya yeye na mac ikawa wanafanya wanayoyajua wao so mapema tu matic angeingia niishie hapo kwanzadah kuna muda tunamuonea sana Ole kwa kuamini kila sub anakosea japo kuna wakati huwa anakosea kweli,muda ambao alimuingiza James ilikua tayari tunaongoza kwhy aliamua kulinda goli lkn pia kwa kuweka mtego wa kupata goli lingine na sio kupaki bus kama anavyofanyaga Mou.
Akijibu uni-tag...Muko nafasi ya ngapi?
Sasa hao wachezaji wa academy watatusaidiaje kwa mfano?Wakipata hiyo crisis mnaenda academy, ipo hivyo. Hauweze kuwa na wachezaji wengi high class kama kinga ya majeraha, ni cost
The self proclaimed TITLE CONTENDER FC...Tunatest mitamboView attachment 1666329
Arsenal itamaliza juu ya manchester united na chelsea na spurs, anayebisha aendelee kubisha! Na itasurprise wengi...FT. WST 0. Vs. ARSENAL 4
Arsenal itamaliza nafasi ya sitaArsenal itamaliza juu ya manchester united na chelsea na spurs, anayebisha aendelee kubisha! Na itasurprise wengi...
cion kama man u itafanya usajil mkubwa sana ndan ya jan hii zaid ya yule dogo wa America Caicedo waje kuungana na facundo pellistri na A.Diallo wa atlanta wakacheze Man u-23 wapate uzoefu wa lig ya UingerezaVp January hii Kuna mpango wa kusajiri kweli?
Caicedo kama anakuja ni straight kikosi cha kwanza, ni mzoefu tofauti na hao wawili umri wake usikudanganye.cion kama man u itafanya usajil mkubwa sana ndan ya jan hii zaid ya yule dogo wa America Caicedo waje kuungana na facundo pellistri na A.Diallo wa atlanta wakacheze Man u-23 wapate uzoefu wa lig ya Uingereza
Tetesi ni huyo Moises Caicedo.Vp January hii Kuna mpango wa kusajiri kweli?