Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ndio maana nasema hakuna kocha mpya atakaepata vikombe akiwa na wote hao James,Lindelof,Shaw,Martia,Bissaka.

Nakubali utetezi wako kwa kuwa hawa ndio tegemeo lkn hata Bunley hawapati namba
United kwa sasa shida siyo wachezaji bhana. Shaw tunamwandama sana il siyo mbaya kiivo.

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 
Nazungumzia jinsi Liverpool alivyocheza, hakuonesha kama ana nia ya ushindi.

Maana jamaa hawakucheza kabisa first half, ndo nafasi ya magoli ilitakiwa.
Nimekupata mkuu..

Big Sam mjanja sana,amekuja anfield kwa lengo la first half kupaki basi asifungwe..bahati mbaya akafungwa moja..2nd half akafungulia mbwa na pressure ikaanza kupanda upande wenu dakika zilivyokuwa zinakatika,na hatimaye akapata equilizer..Proper game management
 

Jamaa anajua jinsi ya kutafuta points za ku-survive kwenye ligi.

Huge point.
 
Ukweli ni kwamba ole anafeli kupick wachezaji kuendana na fixture husika.

Ole anawachezaji wake anaowapenda ambao wanamgharimu maana inaonyesha hata kuwakaripia hawezi.

Mtu kama martial bila kificho ole ana mpenda sana, chunguzeni martial akishinda huwa anashangilia sana kuliko wachezaji wengine.

Nilichoka ile game ya psg penalty alipewa apige yeye wakati rashford ana goals 2 tayari.

Mimi binafsi naona ni heri aanze ighalo kuliko martial endapo cavani ni mgonjwa.

Bruno anatubeba sana ila atachoka atapoteza hari aliyonayo kwa sasa kama tutaendelea hivi

Bruno binafsi anaenjoy cavani akiwa uwanjani kuliko martial .

United tunauwezo wa kushinda goals hata 5 kila mechi tunazocheza kutokana na nafasi za wazi tunazozikosa,
 
Ole is too young for United, hana mbinu wala Plans mbadala pale tunapokuwa nyuma,

Mechi zote tulizofanya com back ni uzoefu na mipango ya wachezaji tu sio yeye Mwalimu.
 
Sancho si sababu mkuu,,

Man u sasa haina tatizo la kutengeneza nafasi,
Tatizo ni poor finishing na poor defending..

Man u inapoteza nafasi nyingi sn za kufunga,,

Kuliko magoli wanayofunga.

Tukilifanyia kazi hilo,,hatutishwi hata na Barcelona au bayan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…