Manchester United (Red Devils) | Special Thread

On boxing day tuna kazi pevu ya kufanya..Tukiondoka na 3 points in fashion basi kila mmoja ataanza kutuogopa rasmi na itatupa confidence ya kuwa na run nzuri ya kuwin games

=============

My Starting XI vs Leicester kesho

De Gea

AWB Lindelof Maguire Shaw

McTominay Fred

Greenwood Fernandes Rashford

Martial

==========

✓SUBS za kubadilisha game😛ogba,Cavani,Telles

✓If McSouce is not fit basi Labile aanze.

✓Ole up your game bana..kikosi kizuri cha kumfunga yeyote kipo..Our defenceline has looked shaky at some points,but we can improve.
 
Nakubaliana na wewe, Lindelof ana offer vitu vingi sana kushinda Baily kwa current situation, ila nakubaliana na mdau hapo juu kaka Baily asingekuwa injury prone naamini angekuwa Bora zaidi ya Lindelof.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Sasa kama Lindelof ana offer vitu vingi kushinda Bailly kwani Bailly huwa anacheza akiwa mgonjwa ?
 
Sasa kama Lindelof ana offer vitu vingi kushinda Bailly kwani Bailly huwa anacheza akiwa mgonjwa ?
Hahahhahaha, hapana mkuu, sina maana hiyo, just nimespeculate kama Baily angekuwa anacheza often. Match fitness na confidence ndivyo ambavyo analack jamaa.

Baily ni beki aliyeletwa na Mourinho. And I always respect his selection.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Rodgers akikutana na timu kubwa upenda kupaki bus kucheza conter attack, ni heri tucheze na viungo hawa, Fred + Pogba + Fernandes
 
Hata Lindelof alisajiliwa na Jose Mourinho kwahiyo ukitumia kigezo chako cha selection za Mourinho basi Lindelof pia ni bora.
 
Hata Lindelof alisajiliwa na Jose Mourinho kwahiyo ukitumia kigezo chako cha selection za Mourinho basi Lindelof pia ni bora.
Louis van Gaal ndio alimtaka Lindelof na mambo yote yalikamilika wakati wake, ila alitambulishwa mapema baada ya Mourinho kutangazwa. So sidhani kama lilikuwa ingizo la Mourinho.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Louis van Gaal ndio alimtaka Lindelof na mambo yote yalikamilika wakati wake, ila alitambulishwa mapema baada ya Mourinho kutangazwa. So sidhani kama lilikuwa ingizo la Mourinho.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Lindelof alisajiliwa Mourinho akiwa kesha kaa hapo msimu mzima. Hiyo ni baada ya Eric Bailly kuanza majeruhi. Alikuwa ni choice ya Mourinho (kocha bora zaidi aliye kazini). Bailly pia alisajiliwa na Mourinho mara tu baada ya kupata kazi 2016.
 
Louis van Gaal ndio alimtaka Lindelof na mambo yote yalikamilika wakati wake, ila alitambulishwa mapema baada ya Mourinho kutangazwa. So sidhani kama lilikuwa ingizo la Mourinho.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Facts zako haziko sawa mkuu.

Eric Bailly alisajiliwa kuja United 2016 baada ya Mourinho kutangazwa.

Victor Lindelof alisajiliwa na kutangazwa rasmi July 14 2017 msimu mmoja baada ya Eric Bailly kusajiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…