Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Anakusindikiza wewe nyumbu si umetolewa UEFA tumebaki wanaumeNaona umekiri hizi mickey mouse cups ndo saiz ya pep kule Uefa anatusindikiza tu wengine
Eric ana fighting spirit as a central defender. Ni kweli ana mapungufu yake ila kuna utofauti mkubwa sana kati yake na Victor, ambaye kwangu mimi namuona kama yupo soft sana na akiwa exposed under pressure anapitika kirahisi sana.Bailly ana ubora gani over Lindelof ?
Lindelof does better kwenye mechi zenye pressure kubwa than Harry Maguire or Bailly.Eric ana fighting spirit as a central defender. Ni kweli ana mapungufu yake ila kuna utofauti mkubwa sana kati yake na Victor, ambaye kwangu mimi namuona kama yupo soft sana na akiwa exposed under pressure anapitika kirahisi sana.
Kitu pekee kinachoni-disappoint kwa Eric, he's susceptible to injuries. Ni ngumu to grow to be the best hasa hasa anabaki pale pale. Binafsi, ningependa sana dirisha dogo usajili wetu mkuu uwe mlinzi wa kati ambaye anapaswa aje kuwa kiongozi pale nyuma ni mahala pekee penye upungufu mkubwa sana.
Nimeangalia mechi karibu tano kwa umakini mkubwa sana kuna makosa Harry anayafanya kila mechi anarudisha mpira kwa kipa akiwa mita chache sana karibu na goli na hata jana alifanya ujinga tena wa kumpa kipa mpira akiwa karibu nae kabisa, mechi dhidi ya Sheffield United ilitugharimu ukiwa unalenga kutafuta kombe kuna makosa hayapaswi kuchekewa. Nyuma hakuna kiongozi pale.
Ndiyo maana scapegoat wa makosa ya Harry Maguire huwa ni Lindelof.PTER,
Pia hapo kwa Harry ukiangalia footage karibu mechi tatu utaona Nemanja Matic anajaribu kumpa ishara Harry sogea mbali na goli ila jamaa kama anajisahau sahau hivi. Angalia ile mechi ya Sheffield na jana ya Everton kuna makosa anayafanya kila siku kuna siku yatatugharimu sana. Na ndio maana nimesisitiza tunahitaji beki kiongozi pale nyuma, hawa tulionao hakuna kiongozi ila ni partner tu wa beki konki.
Kama wanataka makombe kweli lazima kibubu kipasuke. Tunahitaji beki konki pale nyuma. Mfano mdogo tu ile mechi ya RB ukitoa mapungufu ya benchi la ufundi, kama tungekuwa na mabeki wakazaji wale jamaa wasingeweza kufunga goli tatu tulifungwa goli nyepesi nyepesi sana siku ile unaona kabisa hakuna beki anayeongoza ulinzi pale nyuma.Unataka defender kiongozi je Bodi ya United iko tayari kutoa pound 70+ kupata defender wa kiwango hicho ?
Tunza maneno yakoKama mnajiamin nyie vidume njoon tukutane semi Final
Carabao hilo ni kombe la pep, automatic
Nyie mnatuvimbia epl tu, tukija huku tunawanyoosha, hakuna cha debry wala nin
The citizen chairman
Hapo unakosea mkuu,,lindleof alikuwa anatwishwa mzigo wa magwea,,Mkuu Bailey ni bonge la beki, mchawi majeruhi tu.
Me kwangu Bailey ni bora zaidi ya Lindolof.
Nashangaa sana mkuu,,,Bailly ana ubora gani over Lindelof ?
Mkuu hii ni confirmed??Sie udhaifu wetu utaisha dirisha hili la usajili. Tutasajili CB anayecheza kushoto azibe pengo la Super Jan, na kiungo mkabaji atakaye chukua nafasi za hawa akina Winks na mwenzake Sissoko. Kwa hizo addition mbili tu (Skriniar & Sabitzer) tunakiwasha tena kama tulivyoanza ligi.
Heeeheeeeeee haya ngoja tusubiri aisee nyumbuCavani anatupa option ambayo musimu uliopita hatukuwa nayo ili kombe tunachukua na EPL pia. Liverpool tutamfunga mechi zote mbili pointi sita kibindoni hazina mjadala