mnawachukulia wajerumani poa sababu mnamuona Bayern ndiye bingwa kila msimu ila tambua kwamba hata Bayern apelekwe England atawasumbua kama anavyosumbua huko ujeruman
Ligi Uingereza inatimu zinazofanana viwango that's why inaonekana ni ligi ya ushindani
Ila umchukue huyo RB unaemuona poa atakuwa kama Liverpool anayeonekana bora uingereza🚮
🚶🚶🚶
Hivi kweli bro, Unalinganisha Liverpool na Rb leipzig?...serious?mnawachukulia wajerumani poa sababu mnamuona Bayern ndiye bingwa kila msimu ila tambua kwamba hata Bayern apelekwe England atawasumbua kama anavyosumbua huko ujeruman
Ligi Uingereza inatimu zinazofanana viwango that's why inaonekana ni ligi ya ushindani
Ila umchukue huyo RB unaemuona poa atakuwa kama Liverpool anayeonekana bora uingereza🚮
🚶🚶🚶
Mi huwa nakula kabisa mkuuHakika
Siku nyingine huwa tunakaa tako moja
Hahaha dah [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Me kuna harufu ya ubingwa naipata hapa.
Yani ubingwa una nukia kama pilau.
We win together .... We loss togetherView attachment 1655635
Mtoto mzuri we, hua unajifichaga wapi?6th goal. Bruno FView attachment 1655514
Tunamuombea Arsenal asishuke daraja..[emoji846][emoji846]Kwani nyie ni lini mmemuombea mwingine mema?