Leeds wanafunguka sana, wanashambulia sana, wanacheza vizuri
United ya sasa inapenda timu za namna hiyo, wachezaji wa United wenye kasi wanapenda kuachiwa space ili wakimbie nyuma ya wachezaji wa timu pinzani. Bruno anapenda kudondosha mipira namna hiyo.
Leeds wanaweza kutufunga goli/magoli lakini United anaweza kushinda sababu ya style ya uchezaji wake na quality ya wachezaji wetu ambayo ipo juu sana ukilinganisha na wachezaji wa Leeds