Manchester United (Red Devils) | Special Thread

★Man City have now gone five hours without scoring against Man Utd across all competitions.★

#GGMU


manutd |
 
Unashindwa mfunga NYUMBU alafu unataka ubingwa??
 
Ukisema kwangu panaungua hujui pa mwenzio panateketea "kuiombea arsenal dua mbaya kipindi hiki ni matumizi mabaya ya dua "
 
OLE inapafaa aambiwe kwenye kila mechi 4 apate point 9 kulinda kibarua chake.

chini ya hapo apitie kwenye dirisha dogo asepe zake.
 
Kiutani utani mara top 4,mara top 2 mara ubingwa ,maake hakuna timu epl inayoweza sema ipo vizuri.
Kama liva anadraw na fulham bas tuwe na hope anything can happen
Kitu kinaangusha hii timu ni ushambuliaji tukipata watu wenye viwango vya kueleweka pale mbele kila mmoja walau wanafunga kila mech story itakuwa tofaut martial hana goli ni striker rashaford kila baada ya mech 4 au 5 goli moja Greenwood mech 5 au 6 goli moja hapo tutaweza kusogea mkuu? Goli nyingi zinafungwa na bruno niliangalia mech ya sevilla tunatolewa nusu fainali nilijesemea kimoyomoyo kufanikiwa ni had tutapata 9 -7-11 wa maana bila hivyo tutaumia sana
 
Sasa atagusa vipi mpira kama viungo hawampi? Au ulitaka ashuke awe kiungo?
Mkuu martial sio kumtetea hata kidogo kama hufungi basi atengeneza goli hata assist hana unawezaje kumbeba mtu kama huyo? Saiv sijui ana miaka 24 bado anakuwa? Yule dogo anavuta mpunga mwingi sana na huyo ni mtu aliechangia sisi kupigwa na sevilla na psg
 
Mshukuru jana

Mahrez aliwaokoa ,ile Open Space aliyokosa mngehesabu maumivu

Jana City tumekosa gor nying tu


Yaan nyie nyumbu kuna siku yenu inakuja
Mkuu hii sio point hata pogba alikosa goli ambao mpira ulikuwa unaenda moja kwa moja kwa greenwood

Halafu kama hutambui goli kipa nae mchezaji kwa hiyo post yako kipa ni sehem ya wachezaj 11 de gea alikuwa kwenye jukum lake
 
Kipind cha tranfer windor Scholes alisema ManUtd inamuitaji Kane kuliko Sancho, aliona mbali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…