Manchester United (Red Devils) | Special Thread

★Eight years ago today,
Van Persie scored this magnificent goal against City.★

#GGMU


manutd |
Your browser is not able to display this video.
 
Bodi ina makosa yapi uwanjani?

Niambie mchezaji aliekosa Ole mpaka afanye vibaya hivyo?

Kwamba Sancho pekee ndo amfanye Ole afanye vibaya?
 
★Man Utd in the Champions League since Sir Alex Ferguson retired:

2013/14: Quarter-final
2014/15: DNQ
2015/16: Group Stage
2016/17: DNQ
2017/18: Last 16
2018/19: Quarter-final
2019/20: DNQ
2020/21: Group stage ★

#UCL

#GGMU


manutd |
 
Unazunguka sana more than 2 years tunasema UWEZO WA KOCHA NI MDOGO tunaenda mbele hatua 2 tunasahau then tunarudi hatua 7 nyuma ndio tunashtuka weekend atamfunga Man City atapewa sifa zote
Mbaya zaidi mpira tunaocheza ni mbaya sana.

Bora hata wakati wa LVG tulikuwa tunacheza mpira unaonekana.

Kilibaki kidogo kuongeza kutengeneza magoli.

Sasa huyu hata huo mpira hatuuoni.
 
Jose aliachana na EPL akashinda Europa.

Alikuwa focused na alideliver.

Morinho ni result oriented coach.
 
Nmeshafka maombi yako kwa boss
 
Waingereza wanasifia vya kwao.
 
nilichofanya mimi na ambacho kimenisaidia ni kuacha kuangalia mechi zetu...saiz hata timu ikifungwa hata sina muda wa kuwaza
 
Duh! Umeandika kwa uchungu sana blood, maumivu uliyo nayo naelewa aisee. Pole sana kaka, karibu the blues huku ni raha tu.
 
Pole sana blood
 
Yule kocha ni nuksi sana. Katika makocha natamani waje kufundisha Chelsea basi Bielsa ndio napenda zaidi. Huyu kocha namuelewa sana, mbinu zake ni full kushambulia tena kwa kasi kama huna beki imara ndio utajuta kwann umekutana nae.

Tena Bielsa ukijifanya unajibu mapigo yake ya kushambulia mamaaaaa hapo umekwisha mapema tu. Refer ile game anacheza na Chelsea, mwanzo kabisa Leeds walianza na moto sio mchezo sasa Chelsea akaiga kushambulia ikapigwa kaunta ya kushtukiza pasi ikamfikia Phillips, kisha Phillips akatoa assist kwa Bamford likawa goli mapema tu dakika za mwanzo kabisa. Sema Lampard aliusoma mchezo mapema baada ya hivyo akaona isiwe kesi akatulia akaachana na ishu za kushambulia kama Leeds akawa mpole akarudisha goli na kuongeza mawili.

Mfano mzuri mwingine ni ule wa Leeds na LOSERKUKU hapa wote walikutana wazee wa kushambulia, hapa walikuwa wanaviziana yaani one mistake one goal. Ile game ilikuwa ukizubaa tu ni chuma ndio maana ile mechi iliisha kwa magoli mengi mno 4 kwa 3.

Sasa Bielsa akikutana na nyie si atawabaka kabisa
, kwa beki zenu hizo sijui Magure, Lindelof Hahaaa. Mtakuwa mnashituka tu huyu hapa Bamford
wachezaji wa marseille waliwahi kugombana na kocha wao bielsa
teh teh teh
 
Bielsa weakness yake ni hajui kujilinda anashambulia sana bt ankuwa exposed so rhic kufungwa ,angalia Match zake nyingi anvocheza
 
Jose aliachana na EPL akashinda Europa.

Alikuwa focused na alideliver.

Morinho ni result oriented coach.
Sahihi kabisa. Hiyo ni sababu mojawapo makocha wakubwa huwa na vikombe vingi kibindoni. Pep pia kwa mfano; mwaka wake wa kwanza na City hakuhangaika na kubeba league alitumia msimu ule kujenga kikosi huku akiwekea mahesabu vikombe vilivyowezekana. Sometimes kutaka kubeba kila kitu ilhali haiwezekani huwafanya hawa makocha wadogo wasifanikiwe.
 
Ndio maana Bielsa huwa anatumia mabeki wanne kisha mbele yako kuna kiungo mmoja mzuiaji, Philips. Lakini naona bado haijawa suluhisho sahihi, aina ya uchezaji wa Bielsa inapaswa uwe mabeki konki sana.

Tena beki namba 4 na 5 inapaswa waelewane sana kisha wasiwe wanapanda sana alafu yule kiungo mzuiaji awe karibu yao sana yaani asiende mbele mno ikibidi aishie katikati ya uwanja. Yaani nashidwa nieleze vip ili nieleweke, kiukwel mbinu ya Bielsa mm naipenda sana. Yaani kwenye mbinu hizo unapaswa uwe na wachezaji wenye kasi sana kuanzia golikipa mpaka straika. Ili unapo shambulio basi mabeki wa pembeni wanarudi kwa haraka sana kuja kusaidia beki namba 4 na 5


Bielsa weakness yake ni hajui kujilinda anashambulia sana bt ankuwa exposed so rhic kufungwa ,angalia Match zake nyingi anvocheza
 
Alishwah jibu kuhusu iyo issue kuwa yeye kujilinda kwake ni the way timu inakuwan mpira lkn ni mpira wa haraka mda ote na ikitokea wamepoteza mpira bas haraka haraka wanautafuta mpira kuanzia golini kwako
 
Kifupi tu Bielsa namuelewa sana.
Alishwah jibu kuhusu iyo issue kuwa yeye kujilinda kwake ni the way timu inakuwan mpira lkn ni mpira wa haraka mda ote na ikitokea wamepoteza mpira bas haraka haraka wanautafuta mpira kuanzia golini kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…