United waliniacha hoi walipotoa pesa mingi kwa ajili ya Bissaka wakati wanaye Dalot ambaye alihitaji tu program ya kumjengea fitness. Kubaki na AWB na T. Fosu Mensah ni miongoni mwa mambo yanaweza kuelezea uwezo wa kocha.We ungekua kocha ungemuacha Wan Bissaka ili uwe offensive?
Mbona na wewe ungefeli kama ndiyo hivyo.
That french boy "Ndombele" was shit last season..msimu huu naona mourinho amekick-his ass kidogo anajitahidi..United itakapomuachia Pogba atakuwa na miaka karibu 30. Raiola anajua tafsiri yake ndiyo sababu anajitahidi kufanya fujo ili United ifanye muamala mapema. Sema Woodward keshaijua janja yao maana yeye ni genius wa biashara ya soka. Unaweza usiamini Pogba akaja kuishia OT.
Wachezaji wengi wafaransa kipaumbele chao siyo mafanikio ya uwanjani ndiyo sababu wana low mentalities kunako game. Angalia Martial, Bakayoko, Griezmann, na sasa Mbappe. Sisi ilibidi Levy aingilie kati ili asiingie hasara kwa Ndombele. Angalia namna anavyoisadia timu sasa hivi wakati msimu uliopita alikuwa anajifanya mgonjwa kila mechi.
Display zao uwanjani haziwiani kabisa na potential zao.
Hiyo ndiyo tofauti kubwa ya Neimar na akina Ronaldo na Messi. Tafsiri ya mafanikio kwa mchezaji. Yako uwanjani au nje ya uwanja!Pogba ana miliki mansions, super & luxury cars, private jets, shares kwenye makampuni mbalimbali. Anahitaji nini zaidi hapa duniani?
Listen,yatakuwa ni makubaliano kabla ya kupewa timu..kwamba mimi hawa siwataki kwenye timu yangu,nataka niongeze hawa..sisi tunampa frame time tu ya kutuletea trophies..Kocha mpya bila shaka atataka kikosi chake. Mko tayari kufanya overhaul? Usidhani kuwa kocha atakipokea tu kikosi anachokikuta kwa kuwa wachezaji wengi wazuri. Kuna suala la personalities ambalo makocha wazuri huangalia zaidi.
We jamaa buanaKwahiyo ukiitwa brown kwa rangi yako uliyoisema hapo utakubali? Weusi umetofautiana ila wote ni weusi. Unewahi sikia njano iliyokolea/kuivia na njano mpauko? Zote hizo ni njano. Umewahi kuona ama kusikia bluebahari? Na blue za kaptura za watoto wa shule za msingi? Zote ni blue. Sasa iwe brown ama ckokoleti au mangara au weusi kama mkurungu hizo zote ni nyeusi.
Mtizame binti huyu aliye pembeni ya wenzake
Halafu umwite black girl aanze kuvuta mdomo
View attachment 1645352
Lakini pia hawa wasuatao uwaite nyie mabinti weusi naomba kuzungumza nanyi halafu nawao wavute midomo kisa wameitwa hivyo?
View attachment 1645353View attachment 1645354
Ama ukibisha na hapa mchukue mdogo wako au katoto ka dadako ukaambie nani mweupe hapo na nani mweusi hapo halafu uje na majibu.
Noma aisee. Huyo Ndombele Jose alimwambia Levy kuwa hatacheza mpaka arekebishe attitude. Kuna siku Jose alisema anatamani uje ufike wakati Martial acheze kwenye full potential yake. Jamaa wana talents ila ndiyo hivyo pasua kichwa. Jiulize ingekuwaje Cantona asingeamua kuikacha soka akafuate starehe za kwenye movie industry. Aliyofanya misimu minne tu kuyaelezea lazima uchoke.That french boy "Ndombele" was shit last season..msimu huu naona mourinho amekick-his ass kidogo anajitahidi..
Hawa mabishoo wa kifaransa pasua kichwa kweli..Kuna Martial,yaani talent unaiona ila sasa yeye anachofanya uwanjani unabaki umeduaa,hawajali kabisa
Hivyo ndivyo inapaswa kuwa. Na kama ingekuwa hivyo huenda United ingeyumba msimu mmoja tu ule wa Moyes. Sasa tatizo la timu yenu haina structure nzuri ya kuwezesha hicho kitu kutokea. Ni nani anaye fanya vetting ya requests za kocha?Listen,yatakuwa ni makubaliano kabla ya kupewa timu..kwamba mimi hawa siwataki kwenye timu yangu,nataka niongeze hawa..sisi tunampa frame time tu ya kutuletea trophies..
Mimi nasema ulifanya vyema kuhama Man U. Na umepiga timing nzuri kuhamia Tottenham kipindi hichi.United waliniacha hoi walipotoa pesa mingi kwa ajili ya Bissaka wakati wanaye Dalot ambaye alihitaji tu program ya kumjengea fitness. Kubaki na AWB na T. Fosu Mensah ni miongoni mwa mambo yanaweza kuelezea uwezo wa kocha.
Mkwawa anakwambia tumekuwa kings wa comeback.Tactical OGS uwezo wake sio wa kufundisha United,na anashindwa kupanga timu kutokana na opponent anao kutana nao,recently imekuwa kawaida United kuanza kufungwa magoli ndani ya 30 minutes then second half anagundua makosa na kufanya sub.Moja ya sifa ya kocha mzuri ni kuwajua wapinzani wake (strength & weakness) na kuzifanyia kazi
Thomas Tuchel &Julian Nagelsmann baada ya kufungwa na United mechi za kwanza walifanya analyisis wakagundua makosa waliyofanya next game wakashinda na ku-qualify .
Hata wakina Rashford na Martial bado wanajiona makinda.Pogba ni mjinga sana, halafu haonagi kwamba umri unamtupa mkono. Anatimiza miaka 28 soon. Yeye ana amini bado ni mdogo eti ana bright years ahead. Hajui kwa ile mentality mbovu ataishia kuwa wonderful talent with no meaningful achievement. France kushinda WC sio kwamba ni direct credit kwake tu. Anatakiwa aoneshe anaweza ku shine nje ya kuwa covered na Kante na Matuidi
Na bodi hawatamtimua mpaka mwisho wa msimubora usiangalie.
jamaa wametudhalilisha sana kipindi cha kwanza,
halftime tungeliondoka na magoli matatu ya kufungwa ila bahati mbaya kuna mchezaji wa leipzig alikuwa offside kidogo sana
shida yao ni nafasi ya 4Na bodi hawatamtimua mpaka mwisho wa msimu
Umesahau hapo Totenham, JMorinho ndo msimu wake wa kwanza.Remember at ManUtd, Alex Ferguson was given time.
Jurgen Klopp was given time.
Don't do anything rash. Stick with Ole.