Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Makosa ya jana ya wazi ya Ole

Substitutes
Upo nyuma goli 2, unamtoa most attacking left back (Telles) na unamuacha ndani Luke Shaw ambaye hakuwa na match fitness kisha unamtoa Luke Shaw unamuingiza Brandon Williams ambaye hajacheza senior football kwa muda mrefu

Unaingiza akina Mensah sijui (mabeki) wakati upo nyuma na unahitaji magoli, wakati benchi una Ighalo na James

Mchezaji legend wetu ambaye tunategemea/tunaombea awe kocha mzuri ni clue less

Principle
Unamchezesha Pogba, ambaye takribani masaa 24 kabla ya mechi hiyo muhimu anasema kuwa muda wake wa kukaa United umekwisha. Imagine anaonekana ni mkubwa kuliko Man United, Imagine wachezaji wenzake wanachukuliaje. Ndio, Pogba ndio kasema, agent ni mwakilishi wa mchezaji.

Hapa sijataja makosa ambayo kimsingi ndio yalitutoa kwenye mashindano ya UCL... Ile mechi na Waturuki
 
Ole match za pressure za kushinda hawezi

Hana mbinu

Hana uzoefu

Match Kama hizo wanaziweza akina klop

Ole huwa anashinda kwa kubahatisha +uwezo binafsi wa wachezaji



Ole hana mbinu za kimpira kabisa


Match ambayo inatakiwa ashinde au adraw, anakosa namna kabisa ya kufanya?


Game Kama hizi ndio unaweza kumjua

Morhno ni nan

Klop

Simeon


Yaan game Kama hizo wanazimalizaga mapema!


Kuna game liverpool vs sulzburg,

Uefa ilibid liverpool ashinde ndio aende 16bora na alikuwa away ,uliona alivo Press mpaka sulzburg alikufa gori mbili


Leo hii mnataka ole awavushe kwenye wakati Kama huo, never happen hawez kabisa


Ole katika fainal tano, anaweza akashinda moja, kwa sababu hana mbinu za ushind, huwa anabahatisha kulingana na uwezo wa wachezaji walivoamka
 
Nilikuwa namtetea sana ole ila Kuna vitu jamaa hayuko sawa mfano kwa zaidi ya misimu 3 mfululipo De Gea kawa popo lakn anamuamn kinoma, kila game kubwa mind yake inakuwa kuzuia kwanza, sub kachelewa kufanya, game na psg ilionekana kabisa Fred anatuka umeme ila alimuacha hadi akala umeme na ikatu.cost, I lost my faith kwake aseee..
 
Simeon na Morinho ile game wao wangemaliza droo au wangeshinda 1-0, Klopp angeshinda comfortable kabisa
 
Huyu ndiyo alishauri Ole agewe mkataba na ajiandikie mshahara anaotaka baada ya kuwaingiza mkenge leo anajiondoa taratiiiiiibu
 
✓Ole aondoke,na Pogba afuatie..

✓Tu-hire kocha aliyeprove kitu hasa kutoka ligi ya Germany,atakayekuja na falsafa za kutufanya mpira wa uhakika uchezwe na mafanikio yapatikane

°°°Tukiendelea kubaki na Ole naamini hata top four hamna this season°°°
 
Hahaha level yako ya hasira nilikua nayo game ya Arsenal na Liva halafu Lacazette akakosa two clear chances.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…