Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jamani poleni. Ka mchezo haka kaliko chezwa na psg na instanbul hata shetani hajakapenda. Ni harakat za man utd aende futuhi
 
Kwanza Hakuna mtu mweupe wala mweusi.
angalia karatasi jeupe halafu jiulize kuna mtu wa rangi hiyo?
Angalia mkaa halafu jiulize kuna mtu wa rangi hiyo?
 
The difference between A White Guy and and a Black Guy a White Guy wouldn't get offended by calling him a White Guy .

Kwenye NBA they always say "White Guy "na hakuna mtu no one cares about that .

No sense to me.
 
Psg hata akifungwa man u inatoka kwao mlishinda 2-1 kwenu wakawapiga 3–1 head to head yuko na advantage
Sasa tim tatu zikifungana kwani wanaangalia HTH???Wanaangalia goal difference bwashee meaning Manjezta watapita
 
Kwanza Hakuna mtu mweupe wala mweusi.
angalia karatasi jeupe halafu jiulize kuna mtu wa rangi hiyo?
Angalia mkaa halafu jiulize kuna mtu wa rangi hiyo?
Hakuna mtu mweupe wala mweusi???
BUT BLACK LIVES MATTER IS OK ????
 
Hakuna mtu mweupe wala mweusi???
BUT BLACK LIVES MATTER IS OK ????
Wew kwani ushawahi kumuona mtu mweupe labda? yani kama chaki.

black lives matter ni slogan tu Sawa na kusema "Everybody dies" wakati Ocean is a body of water and does not die
 
Wew kwani ushawahi kumuona mtu mweupe labda? yani kama chaki.

black lives matter ni slogan tu Sawa na kusema "Everybody dies" wakati Ocean is a body of water and does not die
BLACK LIVES MATTER ndio utofauti unapoanzia hapo
Black is Black

White is White

Kwanini slogani haikusema ALL LIVES MATTER .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…