Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ni timu gani ambayo ikicheza na Rb leipzig ina uhakika? Even bayern munich mabingwa wa ulaya hawana uhakika wakiingia uwanjani na Rb leipzig. Kwangu mimi hata kama tunafungwa hakuna lolote la kuwa Ashamed.

And yes tuna improve, mechi 38 zilizopita toka juzi tuna point 72, tumemaliza msimu na point 66, hii inamaanisha nini? Kwamba tunafanya vizuri zaidi kuliko muda kama huu msimu uliopita.

Baada ya mechi ya 10 msimu uliopita tulikuwa na point 13 tu ila msimu huu baada ya mechi 10 tuna point 19 je sio improvement?

Msimu uliopita mechi 10



Msimu huu mechi 10


Pia msimu uliopita baada ya mechi 10 tulikuwa tumepitwa point 15 na kiongozi wa juu ila msimu huu ni point 5 na mechi 1 kiporo.

Hapa hata sija consider fitness yetu mwanzo wa msimu.
 
My Starting XI vs RB Leipzig kesho kule Ujerumani...Jasho litatutoka

Henderson

Lindelof Maguire Tuanzebe

AWB Scott Matic Telles

Fernandes

Greenwood Rashford


Ebanaaeee sipatii picha kule kutoku-make to final 16 za UCL kesho..inabidi tuwe timamu sana kimbinu na kiutulivu.

Greenwood na Rashford inabidi wawe clinical sana kesho.

Pogba akiproduce perfomance ya mechi iliyopita kwenye hii gemu basi tutakuwa eneo salama..

Ole hii gemu ni ya muhimu sana,ushindi ukikosa basi hata draw..tofauti na hapo naona msimu wetu utakuwa umeisha..motisha itatoka wapi?

Ikumbukwe ile gemu ya kule Instanbul
 
Sina imani na Ole. Tunafungika kirahisi sana kwa uzembe wa safu ya ufundi. Mf. Mechi dhidi ya PSG, Crystal Palace, Arsenal, Instanbul.

Mwalimu mwenye mikakati ya makombe hadondoshi alama kiboya boya. Sioni hili kwa Ole.
Kwamba ole alimtuma Pogba asababishe ile penalty?
 
Usisahau pia vilaza Arsenal walitushika vilivyo..we didn't look like we can score a goal.

Hii gemu inaniuma sana..
Japo tulicheza vibaya ndio ila tulikuwa better team, walimaliza kipindi cha kwanza na 0 shot on target. Nakumbuka kipindi cha 2 baadae tena ndio wanamtest de gea na shuti la partey.
 
Mimi siku zote siiamini midfield ya fred ama mc tominay na pogba. Unless james anacheza pengine tukarudia diamond.
 
Kwenye mechi ya kwanza . Huyo mtanga alicheza.. huyo marcel alicheza. Walikuwa wapi wasishinde?
Sorry bwana sikuwa namaanisha kuwa uwepo wake (Sabitzer) ndiyo utafanya mpigwe. Hata PSG ilikuwa na Neimar na Mbappe na mkawapiga. Nilikuwa nasema kuwa ni mchezaji mzuri wa kumchunga.

Good luck, japo najua mtapigwa tu.
 
Japo tulicheza vibaya ndio ila tulikuwa better team, walimaliza kipindi cha kwanza na 0 shot on target. Nakumbuka kipindi cha 2 baadae tena ndio wanamtest de gea na shuti la partey.
Hizi ndo zile analysis za mmetufunga ila chenga tumewala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…