Finishing zake za hatari sana..
Ni kwel Mkuuu ila kuna mambo ambayo kama kocha unatakiwa kuyaangalia...ndio maana hao watu hawajaajiriwa kuwa makocha mkuu, sisi hatujui lolote linaloendelea dressing room, kocha na waachezaji ndio wanafahamu.
Mechi ya leo kati ya West Ham United na Manchester United, inatarajiwa yafuatayo yatatokea:
1. Manchester United itashinda.
2. Manchester United watapewa Penati / Mchezaji wa West Ham United atapewa kadi nyekundu / Goli la West Ham United litakaliwa kwa VAR au bila VAR.
Sure.Avatar yako nilikuwa naikubaliii anyway freedom of choice
Rudisha ile Avatar plz.2nd goal. GreenwoodView attachment 1642585
Nakubaliana na wewe kwenye kutafuta tactical technician wale kina Carrick na McKenna naona hata hawana la kumshauri Ole..Kusema ukweli ukiweka mahaba kando, hatufiki popote timu ikiendelea kuwa chini ya Ole. Ni mwalimu wa soka mwenye uwezo mdogo sana.
Narudia tena kusema, timu yetu inaokolewa na uwezo binafsi wa wachezaji na sio mbinu za mwalimu.
Tumekuwa tukifungwa magoli ya kimakosa yale yale yanayojirudia, huyu Ole ana-train nini huko mazoezini? Hili goli la Westham ni carbon copy ya goli lile lile la Southampton wiki iliyopita.
Kama Ed anamuelewa sana Ole basi aajiri specialist tactics coach wa kumpa msaada Ole. Wale wasaidizi wake watatu wakiongozwa na Mike Phelan sioni ubunifu wao.
Amtafute patrik kluvert awe sehemu ya ufundiNakubaliana na wewe kwenye kutafuta tactical technician wale kina Carrick na McKenna naona hata hawana la kumshauri Ole..
Jana Westham wangetumia nafasi zao za first half hii gemu tungelala..
Tunafungwa magoli yaleyale kila siku
Ndio faida ya ujana bado anaweza kunyumbulika mifupa bado laini.Ile first touch and turn ya greenwood mpaka kafunga ya kinyama Sana. GGMU